Inaitwaje hyo kiongozKali sana jamaa wanateka sehemu ya kuchapishia fedha wanachapisha pesa zao na kabla ya tukio wanaingia darasani for five months na hakuna kujuana majina wanajiita majina ya miji ka Nairobi Berlin Denver Helsinki and so on.kuna jamaa anajiita Professor very smart Scofield akasome
Money heist , naona imeshapata hadi order ya season 2, ngoja nishuhse episode ya kwanza niijaribuInaitwaje hyo kiongoz
Ok,kwa hyo ina watu wana akil za Michael cha mtoto?[emoji3] [emoji3]Money heist , naona imeshapata hadi order ya season 2, ngoja nishuhse episode ya kwanza niijaribu
Mimo bado sijaichekiOk,kwa hyo ina watu wana akil za Michael cha mtoto?[emoji3] [emoji3]
Inaitwa money heist a.k.a lacasa de papelInaitwaje hyo kiongoz
Season 2 ishatoka pia yoteMoney heist , naona imeshapata hadi order ya season 2, ngoja nishuhse episode ya kwanza niijaribu
Hatari sanaOk,kwa hyo ina watu wana akil za Michael cha mtoto?[emoji3] [emoji3]
Mapenzi uchawi flaniIko aje aje hiyo?
Kwa hiyo zimetoka season 1&2 zote completeSeason 2 ishatoka pia yote
Tatzo ile lugha,,daah nmesikitika kuangalia nankusoma hua inanochoshaHatari sana
aiseeeSeason 2 ishatoka pia yote
aitsee ...ngoja nifanye namna.Kali sana jamaa wanateka sehemu ya kuchapishia fedha wanachapisha pesa zao na kabla ya tukio wanaingia darasani for five months na hakuna kujuana majina wanajiita majina ya miji ka Nairobi Berlin Denver Helsinki and so on.kuna jamaa anajiita Professor very smart Scofield akasome
SanaaaHalaf msisahau kuna Deception,duuuh wazung wana akili sana asee,inahusu jamaa mmoja mwanamazingaombwe anavyowasaidia fbi kusolve kesi zao daah tamu hatari kbsaaa
Nakusabahi tu kipenzi.Sanaaa
Sijaanza ila niliona fox na nikaipenda. Kama umeanza kuiangalia tupe mtazamo.Kunà wàdau walioanza kuchek Deep state humu?
Kama unapenda series za ujasus na mambo ya middle east ni nzur kwakoSijaanza ila niliona fox na nikaipenda. Kama umeanza kuiangalia tupe mtazamo.
Ok hizo ndio taste zanguKama unapenda series za ujasus na mambo ya middle east ni nzur kwako
Ndio mkuuKwa hiyo zimetoka season 1&2 zote complete
Kama unatumia vlc mx player kuna option ya audio English au Spanish so unachagua tu Audio ya English ipoTatzo ile lugha,,daah nmesikitika kuangalia nankusoma hua inanochosha