Series (Special thread)

Duh,kwenye list yako nimeangalia moja tu
 
Hii list ya kibabe sana
 
Habari wakuu, simu yangu internal space ni 8gb, na extenal ni 5gb,internal space imebaki kama mb250 ila extenal ina zaidi ya mb600 lkn nikidowload app yoyote play store yenye space ya mb200 au chini ya hapo inaandika not enough space, hapo imekaaje wakuu na ninawezaje kuexpand space zaidi?
 
Hii listi mmmmh
 
Hamishia video nyingine kwa external na nyingine ambazo hazina maana futa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…