hadi nimecheka peke angu. Kumbe mtu mmoja handsome boy wangu McGNdio huyohuyo, Noah mills ni jina lake la kweli, la movie ndo ilo Joseph McG
McG handsome...jaz wa shoka yule aiseeHaha unamkubali McG kisa mrefu, Jaz hatari sana akilenga hakosi.
Jaz akili kubwaz, iliniuma alivyokosa ile mission ya kuokoa ndege.McG handsome...jaz wa shoka yule aisee
endelea tu ni nzuri sanahawa sijui vipi, very pathetic, si angenyongwa kwenye Season ya 6 huko, ndo alikuwa ananogesha hii Series, nimepata naweka next ili nimuone mshikaji lakini wapii [emoji15] [emoji15] [emoji15], but huko mbele iko poa au siyoo
Eti steling anakufa mwanzo wa Picha [emoji1] [emoji1] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
EMPIRE1-The vikings
2-Da vinci demons
3-Spartacus
4-The tudors
5-Vampire diaries
1337x.tomwenye link ya kudanlodia "el chapo " anitumie
thanks blood1337x.to
Pamoja[emoji111]thanks blood
huyu jamaa ni fundii hata kwnye breaking badRevolution mwanzoni hainogi ila imenogeshwa na huyu jamaa
Ni niliumia alivotekwa tuuuJaz akili kubwaz, iliniuma alivyokosa ile mission ya kuokoa ndege.
Valorhiv ni series gani kali ya action ya muendelezo kama prison break icwe kila episode na stor tofaut kama merlin.
Mzee wa los pollos hermanoshuyu jamaa ni fundii hata kwnye breaking bad
Ile njia ya Adam aliyotumia kumuokoa ni noma, yaani kila mtu aliipinga at first.Ni niliumia alivotekwa tuuu
"You have the controls, I have the controls" namkubali sana MadaniValor
Counterpart jaman ni nzr kweli? Na inamuendelezo sio kila ep ni story yakeKuna punisher,mc mafia,taken,counterpart. Zipo kibao tu. The last ship habari ingine.
Kuna series inaitwa Absentia nzuri sanaIle njia ya Adam aliyotumia kumuokoa ni noma, yaani kila mtu aliipinga at first.