Series (Special thread)

Hii wisdom of the crowd mbona kama wameiba story ya APB
Hapana...japokuwa zinafanana kwamba unatoa taarifa,lakini ukitazama wisdom ni kwamba aliiunda ili Ku solve mauaji ya mwanae. APB was for crime tu.
I heard Wisdom wamei cancell eti.. APB ilikuwa moto,wakai cancel na yenyewe. Mxiuuuu zao
 
APB pia aliiunda kusolve mauaji ya bestfriend wake kusolve crime kukaja baadae, zote tamu sijui kwanini wamezicancel
.
 
APB pia aliiunda kusolve mauaji ya bestfriend wake kusolve crime kukaja baadae, zote tamu sijui kwanini wamezicancel
.
Hapana,APB aliianzisha baada ya kupiga 911 wakachelewa kufika eneo la tukio mpaka rafiki yake akafariki. Ndio akaamua ahamishie technology industry yake ili watu waweze kupata taarifa na msaada wa haraka linapotokea tatizo,crime particularly.
Wanakera kweli yaani juzi cancel.
 
Lakini naskia hii wisdom wameicancel kisa ratings ndogo na pia uyo Tanner alikua anaforce mapenzi na maactress.
 
Sasa na yeye ni bwege anashindwa kutongoza, analazimisha mwishowe anatukosesha utamu wa series.
Yaani scandal yao kule ni hivo kutongoza tongoza ovyo actresses kisa wao waongozaji au wana nyadhifa fulani kwenye kampuni inayoshoot filamu. So,sio wote waliobaka..wengine tongoza tongoza huku wakitishia kama watakataliwa kuendana na nafasi zao,watawatimua.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…