Series (Special thread)

kuwa rated 9.5 sio issue sana, swali; ni imekuwa-rated na watu wangapi? kumbuka hizo show ulizoilinganisha nazo zimekuwepo kwa zaidi ya miaka mitano lakini hii ndio kwanza bado mpya, btw hii yenyewe haina fiction kama show nyingine za Marvel!?
 
Nimetokea kumwelea mhuni Rich Dotcom kwenye 1st season ya blindspot. Aisee yule jamaa alivyoimastermind escape yake nlimnyooshea mikono
 
Kuna hii ya history nayo siyo mbaya..Making of the Mob

Berlin Station nayo nilianza nayo fresh, ila naona inapoteza mvuto..

Ila Spies of Warsaw nzuri, niliipenda

Queen Sugar niliipenda mwanzoni, naona iko slow, ila sio mbaya kupoteza muda..
 
Wapenzi wa STRIKE BACK, nawakumbusha season 6 ipo episode 4 now.

Ingia bmovies.sis to watch online n dowload if u have IDM
 


Tuko Season ya 7 episode ya 9 mambo yana zidi kua moto humu.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…