Series (Special thread)

Kweli bab umeangalia nyingi sana, mie nna shida na hiyo vikings, kama upo dsm nielekeze niifate kama unayo yote kuanzia season 1
 
Yaani ach kabisa, alinichekesha toby eti coffee inataka kuunguza goodie goodie yake.
Toby bwana,pale yule baba aliwajibu "i dont wana know" walivyokuwa wanabishana na mkewe, yeye akamjibu "glad you asked" akaanza kumuelezea, sijui hata aliwaza nini khaaah!!
 
Always she says it's not good
Toby akili zake anazielewa mwenyewe.
 
Alafu mkavuuu hata hacheki, yeye na mkewe chupa na mfuniko.
Yaani wale bora hata they married,akili zao wanaziweza wenyewe. Cabe kawachoka na vifupi vyao,eti wanapanga wazae..niliingiwa huruma happy alivosema anatamani mtoto kwenye episode ya 4 mwishoni..
 
Kweli bab umeangalia nyingi sana, mie nna shida na hiyo vikings, kama upo dsm nielekeze niifate kama unayo yote kuanzia season 1
Sipo DSM kwa sasa, natarajia kurejea huko msimu wa sikukuu za mwsho wa mwaka Kama utahitaji kipindi hiko tutataarifiana.
 
Designated survivor naikubali sana.
 
New Series
1. The Brave
2. Seal Team
3. The Good Doctor
4. Valor
5. The Gifted
6. Marvel Inhuman
7. Mr. Mercedes
8. Dynasty
The Brave nimeiangalia ni kali sana. Kwenye hii list ipi ingine yenye action kama the Brave?
 
The Brave nimeiangalia ni kali sana. Kwenye hii list ipi ingine yenye action kama the Brave?
Cheki hiyo Seal Team au tafuta hizi
Strike Back
Shooter
Last Ship
Banshee
Blindspot
Taken
The unit
The player
Last Resort
Six
 
Hamuwezi amini wakuu, nimejikuta tu na download 24 season 5 niirudie upya kwa mara ya 7. Nilimiss sana actions za bauer, tony almeida, chloe obrian, rais mpumbavu charles logan, na wengineon hakika hakuna kama 24.
Mr President, it has been an honor
 
Huu mzigo ndio nakomaa nao kwasasa...
 
Hahahaaaa! Ni nzuri sana mama, yaani majibu yake yananiachaga hoi. Na anavyowajibu wagonjwa sasa!!
Aisee dr.melendez anakoma na majibu ya shaun. Ila anavyom treat hadi inatia hasira,kenyewe sasa eti "thank you,you are so arrogant"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…