man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,356
Sana..anavyokapenda Raph...Ila he has a heart of gold.
Sana..anavyokapenda Raph...Ila he has a heart of gold.
Ni shida hili dudehomeland nayo sio poa inanifanya nikeshe adi asubuh leo
Ndo hivo! Lakin hii quality yake iko poa sana, na hupati shida kutafuta sana series. Na wapo updated kweliVipi quality ya picha iko poa, maana hizi series za kwenye site wana zi bana sana, zinakuwa na poor quality tofauti na za kwenye tottents.
UPDATE
link iko pouwa maana source zake ni torrents
EZTV Series & Shows List - TV Torrents Online - Sorted by Rating
Uwena App ya UTORRENT, AU BIT TORRENT NK
Good Doctor ni nzuri ila subiri mzigo uwe complete ndo utaenjoy huku ukisubiria Netflix watoe Stanger Things huwa hawana longolongo hawa wanawekaga full season.Hii Good Doctor inafaa niivae sasa naona inatrend Sana pia rating zake sio mbaya.
Tatizo siku na mpango wa kuanza season mpya mpaka STRANGER THINGS itapotoka tarehe 28 mwezi huu.
Bila kusahau El ChapoWahenga walisema kizuri share na wenzio, kama wapenda series na movie nawashauri muangalie hii series SABURRA.
Kama mtuu ulivutiwa na Narcos basi hii pia utaipenda zaidi sema hii imeigizwa kwa kitaliano Kuna umafia wa hali ya juu na watu wa Kama akina Pablo Escobar, cartels na agent PENA humu.
Kama kwenye Narcos tuliaanza kuelewa kispanish mjiandae pia na humu kufahamu kitaliano.
Ina season ngp?Wahenga walisema kizuri share na wenzio, kama wapenda series na movie nawashauri muangalie hii series SABURRA.
Kama mtuu ulivutiwa na Narcos basi hii pia utaipenda zaidi sema hii imeigizwa kwa kitaliano Kuna umafia wa hali ya juu na watu wa Kama akina Pablo Escobar, cartels na agent PENA humu.
Kama kwenye Narcos tuliaanza kuelewa kispanish mjiandae pia na humu kufahamu kitaliano.
Season 1 tuu, Bado mpya ndio imetoka October hii.Ina season ngp?
OkaySeason 1 tuu, Bado mpya ndio imetoka October hii.
Naivutia kasi hiyo...ijae jae kwanzaThe brave imeanza kunivutia
Yeah nilishamaliza season 1 yote hiyoNdo nmeanza kuangalia AMERICAN GODS...kuna mtu anafatilia pia?
Aisee hiyo kitu ilinishinda mieNdo nmeanza kuangalia AMERICAN GODS...kuna mtu anafatilia pia?
Kwann?..Umeishia ya ngapi?Aisee hiyo kitu ilinishinda mie