Zimefika mpendwa, kimya sana sijui umepotelea wapi!!!Nipo mamy...
Nafuatilia threadkimya kimyaa msalimie espy.
Hii michongo naisubiri kwa hamu sana hasa BLACKLISTDesignated Survivor,Blacklist na How to Get Away with Murder zinatoka next week.
Habari njema hii.Designated Survivor,Blacklist na How to Get Away with Murder zinatoka next week.
Kabisa.Habari njema hii.
Duuh, hapa zinakosekanaje series hizi?Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Means scorpion ni week ijayo pia. Maana zilipishana siku chache sanaHabari njema hii.
Oooh safi sana, nimemmiss thoby!Means scorpion ni week ijayo pia. Maana zilipishana siku chache sana
Asee hii naifuga kwanza mpaka iote mkiaaa...Oooh safi sana, nimemmiss thoby!
Duu ulikuwa wapi siku zote ujacheki Breaking Bad?Asee hii naifuga kwanza mpaka iote mkiaaa...
Now naicheki breaking bad maana wadau wameisifia sanaaa
Huwez kujua uzur kama hujaiangalia hats mm nilikua nairuka ruka lakin nikasema wacha nione itakuaje weeee,nadhan kesho inamalizoka season 3Mi hapana sina Mzuka nayo japo watu wanaisifia sana. Then naona series zangu pendwa zinakaribia kuanza..
Nilikuwa naipotezeaaa...Duu ulikuwa wapi siku zote ujacheki Breaking Bad?
Vipi ni nzuri? Mie sijaicheki, huwa naichukulia poa tu.Asee hii naifuga kwanza mpaka iote mkiaaa...
Now naicheki breaking bad maana wadau wameisifia sanaaa
Ni moja kati series nzuri sanaNilikuwa naipotezeaaa...
Ila serie zangu pendwa ziliisha skuwa na namna tenaa....nikasema ngoja niicheki..
Ila haijanivutia sanaa...
Nipo season2 ila director alizngua
Mie hapana aisee..Huwez kujua uzur kama hujaiangalia hats mm nilikua nairuka ruka lakin nikasema wacha nione itakuaje weeee,nadhan kesho inamalizoka season 3
Magu kabana balaaa yani acha tu....Zimefika mpendwa, kimya sana sijui umepotelea wapi!!!
Salvation