Series (Special thread)

Inahusu Nini??
Akiwa Bostwana pamoja na mama yake, Kijana mwana sayansi Jackon Oz anajaribu kutafuta solution kuhusu wanyama ku attack people. Sehemu zote ulimwenguni walipo wanyama pamoja na ndege wa Aina zote, kijana uyo anazunguka kila kona akiwa na rafiki yake Ibrahim Kenyata kutafuta solution..... Baadae wanafanikiwa kukutana na doctor wa viumbe Mitch Morgan na mwandishi wa habari miss Jamie Campbell na Chloe Tousign....

Jackson anajaribu kuwashawishi na kuunda kikosi ili kutafuta solution ya animal attacks.

Ni kali sana aisee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee unadownload link gan?
 
Wewe kuna muvi za kikorea ambazo ziko safi sana. Hebu jaribu kuangalia kitu kinaitwa Athena au IRIS, ni za kitambo ila ni balaa. tofauti na hapo labda tu useme wewe ni mvivu wa kusoma subtitles
Hiz znahusu nini mkuu nami nkaztafute maana spend kabsa za kkorea
 
Power
Power
Power

Yani season 1 hadi ya 4 ilotoka juzi sijawahi juta kuiangalia

si sisiemu si sidiem ila ni MKEREKETWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…