evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Hiyo terrarium umefungua na pc au SIM??Mkuu mbona nikidowload faili halifunguki linaingia kwa mtindo wa zip hata niki unzip haichezi au nakosea wapi?
Xmass Boy.
Kwa simuHiyo terrarium umefungua na pc au SIM??
Hilo specifically huwa ni ya SIM if am not mistaken
Emma bas pambana..aiwez kugoma bhna..au SIM storage iko full???Kwa simu
Xmass Boy.
Hapana kuna zaidi ya Gb 10 free ila nimeona ya torrent hapo nimejaribu naona inapiga kazi fresh... Terraniam nitatumia kustream tu movie.Emma bas pambana..aiwez kugoma bhna..au SIM storage iko full???
Unapakua ipi?Hapana kuna zaidi ya Gb 10 free ila nimeona ya torrent hapo nimejaribu naona inapiga kazi fresh... Terraniam nitatumia kustream tu movie.
Xmass Boy.
Kitambo sana Yaani...si tulikuwa tunaichek eatv home..nilikuwa naipenda balaaHuyu jamaa na the Unit yake dahhh kipindi hiko tz nacheki kwa neighbours asee..hv bado ipo?
Mlikuwa na TV?..Kitambo sana Yaani...si tulikuwa tunaichek eatv home..nilikuwa naipenda balaa
Iendelee wapi!!? Nilikuwa nachek home ndio,enzi hizo star TV kuna it might be you huku TBC1 kuna the promiseMlikuwa na TV?..
Minlikuwa nacheki kwa mwanangu mmoja hivi wao walikuwa wa kisure nini..na tamthiria moja inaitwa It might be you..wafilipino..ahh kitambo sana...
So the unity bado inaendelea??..
Jamaa wapo vizuri sana ni level nyingine kabisa tuombe uhai tu mpaka 2019 season final.Sasahivi wanatoa mfululizo wa episode nyingine 7 za behind the scene. Nimeangalia ya kwanza aisee hawa jamaa wako serious na professional zao, link hii hapa
Game of Thrones Behind the Scenes Series Revealed
Sanaa,nimeipemda hatari sana
Unakitana na akili za tanz mubasharaSanaa,nimeipemda hatari sana
Ukitaka msigombane katika mahuiano ni lazima mmoja ajifanye mpumbavu kwaajili ya mwenzake.
Picha yangu bora kwa mwaka huu,,wanaonekana hata nje ya camera wanapendana japo sio wapenzi,,wametofautiana siku moja tu ya kuzaliwa,,wamekua waigizaji bora kabsa ambao toka season 1-5 hawajawah kugombana baada ya kuwa wapenzi.. Raha sana
Imeniuma mjomba ake Tanz alichomfanyia Darius jamani...
Mjomba atakuwa nyuma ya Vice President katika kumhujumu President ndio maana wameondoa kikwazo cha TanzImeniuma mjomba ake Tanz alichomfanyia Darius jamani...