Series (Special thread)

Wadau hii site ya hdmp4mania.rocks imepatwa nini tena jamani? Na kwa wale waliokua wanaijua je mbadala wake ni ipi? Natanguliza shukran zangu kwenu.
 
Attachments

  • Screenshot_20170823-233509.jpg
    37 KB · Views: 54

Kwa wale wapenzi wa Series za Marvel Heroes
Yan DareDevil, Jessica Jones, Luke Cage, & Iron Fists
Nmeikuta Moja Inaitwa Marvel The Defenders Wakali Wote Hao Wapo Humu.............😉😉
 
Ki ukweli wenzetu wamejaaliwa kuwa na ubunifu wa hali ya juu sana katika kutoa burudani kwa kuhakikisha anakamata hisia zako pale unapokuwa unatizama kazi zao. Wanafanya vizuri sana na hii ikichangiwa pia na tekinolojia waliyo nayo kuwa juu.<br />Kwangu mimi naona USA iko juu sana katika utoaji wa Movies and Tv Series (kusema hivi simaanishi kuwa wengine hawatoi kazi nzuri, lahasha!! Wanatoa kazi nzuri ila USA is the best)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…