Bro una banda la video nini mana mmh.My best movie of all time is CYBORG ya Van Damme..
Seasons nimeona nyingi san ila best kwangu ni
Merlin
legend of the seeker
the 100
jumong
land of window
the great queen sundiok
prison break
the last ship
dance of the skyee
Moorin school
game of thrones
into the badlands
the magic garden
faith
the witches of east ends
Spartacus
the flash
the land of the wind
the bastards excutioner
Lost
Banshee
n.j
Hahahaa hapana mkuu hiyo nimekupa robo tu ya list yangu.Afu hapo hujagusa muvi nimeona zaidi ya 1000 mkubwaBro una banda la video nini mana mmh.
Kwa hizo masaa umepigakama ungekua rubani ungekuwa zaidi ya warusha bombadia
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Vp mkuu hiyo kitu ni nzur
Banshee ni hatari... Bila kusahauMy best movie of all time is CYBORG ya Van Damme..
Seasons nimeona nyingi san ila best kwangu ni
Merlin
legend of the seeker
the 100
jumong
land of window
the great queen sundiok
prison break
the last ship
dance of the skyee
Moorin school
game of thrones
into the badlands
the magic garden
faith
the witches of east ends
Spartacus
the flash
the land of the wind
the bastards excutioner
Lost
Banshee
n.j
Strike Back kali sanaaaMovie kitambo
My fav. Series
Strike back
Walking dead
Athena: Goddes of war
Falling skies
Agent of S.H.I.E.L.D
Fav. Old movie.
Full metal jacket.
Black hawk down
Eye in the sky
Fav. Latest movie.
King arthur 2017
jarhead 2017
Hacksaw ridge 2016
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Halt And Catch Fire Kali KinomaKujua mwanzo wa hacking... tizama hii Halt and Catch Fire
Kweli???Halt And Catch Fire Kali Kinoma
Traveller12 monkeys ni balaa aisee
Nipo mamiiiii nipo san nilikua napaku vituuuui,ss hiv nmemliza the cleverman,nimepaku ozark,nmepakua the mist ss nangojea kesho kutwa niangalie sehem ya mwsho y orphan black,then ndio nizichek mdgo mdgo najua bado siku 8 hiv the last ship mzigon
Ozark vip ni kali? Bado sjaianza naipimia kwanza.Nipo mamiiiii nipo san nilikua napaku vituuuui,ss hiv nmemliza the cleverman,nimepaku ozark,nmepakua the mist ss nangojea kesho kutwa niangalie sehem ya mwsho y orphan black,then ndio nizichek mdgo mdgo najua bado siku 8 hiv the last ship mzigon
Upeo wako wa kufikili ni mdogo sana!Hapa mnaangalia series usiku kucha, kazi mnafanya sangapi au wengi wenu bado madependant
Sent using Jamii Forums mobile app
kwan we hauna Cherehani Nne???Hapa mnaangalia series usiku kucha, kazi mnafanya sangapi au wengi wenu bado madependant
Sent using Jamii Forums mobile app