Series (Special thread)

Hiyo sijacheki mpenzi, ila shooter niliicheki na niliipenda. Na imerudi season 2 naona itakuwa kali. Ijaribu mama.
Ha ha ha ha.wewe ukisema mie nafata,nitaanza kuichek dear
 
Kama unapenda mofo kibao zinatajwa huko. Na kwich kwich za kila dakika
NB:usiitazame na mtu unae muheshimu
Sitasahau power ilivyoniaibishaga mbele ya dogo, nimeiweka kwa mbwembwe zote, wee mbona niliisaka remote, na kuhamia kuicheki chumbani
 
leonardo da vinc mkuu naomba majina ya ancient story series zingine niangalie kuna baadhi nimisha ziona kama da vinc,GOT,vikings,the borgia,Taboo,rome,busterd excution,rome,tudors,reign,the last kingdom,spartcus
Marco polo
Black sail
Outlander
Labyrinth

Nzuri ndo ulizozi mantion hizo nimeziona zote kasolo labyrinth nilikuwa naikuta vipande vipande naishisha now nitakupa feedback!
 
Sitasahau power ilivyoniaibishaga mbele ya dogo, nimeiweka kwa mbwembwe zote, wee mbona niliisaka remote, na kuhamia kuicheki chumbani
Kuna chalii ilikuwa anakuja kuomba kuichek akiwa na miadi na demu wake. Basi ataangalia episode zenye uchokozi weeee mpaka basi
 
Mimi mwenyewe mwanzoni ilinishinda nikaacha...nikaanza tena mara pili nikaja kuielewa..
Kuanzia episode ya 3 ndio utaanza kuielewa.
Duuuuuh!! Maybe itokee sina cha kuangalia nitaifikiria.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…