Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 343
Shooter ilianza vizuri sana lakini baadae ilipoteza taste ya mwanzo baada ya kuwa na matukio yasiyo na mtililiko mzuri ikawa kama low budget movies its like kuna kitu kitu kinapungua lakini ni story nzuri ingepangiliwa vizuri kama episode ya 1 na ya 2 ingekuwa hatari sana kwa nionavyo mimi!Ninachoweza kukushauri, haraka sana.... Haraka sana, ianze designated survivor. Mi nilikuwa naizembea hivo hivo, lakini nilivyoianza aisee nilikuwa nalala saa kumi.
Such a nice story nakuambia.
You won't regret about your mbs joh. Itazame, ukiendelea nayo msalimie my baby Seth wright...
Sasa kama ina ma firinyongo Hata siitakiShooter ilianza vizuri sana lakini baadae ilipoteza taste ya mwanzo baada ya kuwa na matukio yasiyo na mtililiko mzuri ikawa kama low budget movies its like kuna kitu kitu kinapungua lakini ni story nzuri ingepangiliwa vizuri kama episode ya 1 na ya 2 ingekuwa hatari sana kwa nionavyo mimi!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Sasa kama ina ma firinyongo Hata siitaki
Jaribu inaweza kukuvutia coz tunatofautia katika test but for me hiyo na six nilivyotarajia kabla hazijatoka na baada ya episode ya 2 kuendelea sioSasa kama ina ma firinyongo Hata siitaki
Aqkhuuu. Kwenye action tutakuwa tuna common demand sio mizinguoJaribu inaweza kukuvutia coz tunatofautia katika test but for me hiyo na six nilivyotarajia kabla hazijatoka na baada ya episode ya 2 kuendelea sio
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Check na show box mzee babaMbona nmekosa site ya ku download series kwenye pc
Breaking badGOT
Prison break
24
Designated survivor
The last ship
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Show box kama inaznguaCheck na show box mzee baba
Kwa kutumia nini inazingu??Show box kama inazngua
Hiyo GOT siifuatilii but prison break sijaifatilia season 5, ushawahi ichek APB??GOT
Prison break
24
Designated survivor
The last ship
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kama unapenda ancient stories GOT ndo best nafikiri prison break s05 ni season waliotoa baada ya season 01 Sipendi SciFi za kupitiliza so sijawahi hata jaribu ishusha!Hiyo GOT siifuatilii but prison break sijaifatilia season 5, ushawahi ichek APB??
Sipendagi ancient hata kidogo.Kama unapenda ancient stories GOT ndo best nafikiri prison break s05 ni season waliotoa baada ya season 01 Sipendi SciFi za kupitiliza so sijawahi hata jaribu ishusha!
Uliiona Missing japo ilifutwaSipendagi ancient hata kidogo.
Hapana... Mimi genre zangu kuu ni drama, fantasy, Action, thriller, sci-fiUliiona Missing japo ilifutwa
Ngoja tulisubiri dude letu GOT jumatatu hewani.Kama unapenda ancient stories GOT ndo best nafikiri prison break s05 ni season waliotoa baada ya season 01 Sipendi SciFi za kupitiliza so sijawahi hata jaribu ishusha!
Kabisa best series everNgoja tulisubiri dude letu GOT jumatatu hewani.
Missing ni genre hizo piaHapana... Mimi genre zangu kuu ni drama, fantasy, Action, thriller, sci-fi
Poa nitaichekMissing ni genre hizo pia