xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Poa episod ya pili sasa na ipakua hapa,ngoja nipakua tatu kwanzaNakushauri, download eps 3 za mwanzo, ikikuboa achana nayo.
But si kitu ya kuikosa.
Series tamu sana
Poa episod ya pili sasa na ipakua hapa,ngoja nipakua tatu kwanzaNakushauri, download eps 3 za mwanzo, ikikuboa achana nayo.
But si kitu ya kuikosa.
Series tamu sana
ShukraniKuna watu wamesema ni nzuri, lakini mimi sijaipenda kwa kweli. Movie zenye uongo mwingi usio wa kufikirika siuhitaji kabisa...
Mimi sijaipenda na nimeishia episode 1 tu.
Lakini kuna balques huko anameza watu kwenye papuchi yake, take care![]()
![]()
![]()
Nasubiria mrejeshoPoa episod ya pili sasa na ipakua hapa,ngoja nipakua tatu kwanza
Yeah...Hivi 24legacy ndo basi??
Yah hapo nadhani mpaka next seasonHivi 24legacy ndo basi??
CancelledYah hapo nadhani mpaka next season
Ukipata time icheki tena.. Me mwenyewe nilianza kwa kususua cz jamaa alikua peke yake alikua anazingua.. Ila kuanzia episode ya 2 au 3 idadi yao inaanza kuogezeka na hapo ndo inanoga.Ilinishinda hata episode moja sikumaliza.
Uh!!! Sidhani kama naweza kuipenda aiseee!!Ukipata time icheki tena.. Me mwenyewe nilianza kwa kususua cz jamaa alikua peke yake alikua anazingua.. Ila kuanzia episode ya 2 au 3 idadi yao inaanza kuogezeka na hapo ndo inanoga.
Trust me u will enjoy.. Inafurahisha sanaaaaa especially if you are a good listener.
Wamei cancell next season hiyo vepeYah hapo nadhani mpaka next season
Nipe khabari???Poa episod ya pili sasa na ipakua hapa,ngoja nipakua tatu kwanza
Nmeiona halafu kind nikaitamani hivi. But mmh. Muda wangu sasa unaelekea kuwa tight aiseeZoo inatoka soon jipange.
sio mchezoThe 100
nilikuwa sijaona kumbe n bonge la Series