Unakumbuka time after time na yenyewe ilianzaga kindezi...Yaaa ila mwanzo hama haijaeleweka sana ila itakua moto sana baadae.. Mzee linken wa kwenye the 100 daaah wacha kbsa
Naiona tu katika trends. Iko aje aje nipe mzukaKuna mtu ameshaitazama sense 8 humu?
Mi ndo kwanza nataka kuipakua season moja kwanza niielewe maana unaweza cheki episode moja au mbili bado usiielewe,,naipakua season one yte kwanza nadhan nitaanza kuichek kesho nitakuja na mrejeshoNaiona tu katika trends. Iko aje aje nipe mzuka
Yes kwel time after time wale wapuuz wakaikatisha aisee,,,the 100 aisee umekosa uhondo ndugu,,season one ilikua utoto mwngi ila sasa hiv aisee usipimeUnakumbuka time after time na yenyewe ilianzaga kindezi...
The 100 sina mzuka nayo tena now days. Toka season one sijaichek tena
Basi nitaendelea kuichek Maana maserati Ndio kanisababisha nisiitazem tena the 100. Ila American gods nimeielewa etiiu. Lincoln wangu sasa,imenifanya nizidi kuipenda. Ananiogopesha bilquisYes kwel time after time wale wapuuz wakaikatisha aisee,,,the 100 aisee umekosa uhondo ndugu,,season one ilikua utoto mwngi ila sasa hiv aisee usipime
Sasa Mimi na wewe nani ananmjazage mwenzie madesa ya uongo. Mi the 100 niliacha kuichek zamani toka imeisha season 1 kipindi kile we umekomaa na under the dome,ukaja ianza the 100 wakati inatoka season 2 nkasema sijaipenda nikaacha we ukataka usiimalizie.Basi nitaendelea kuichek Maana maserati Ndio kanisababisha nisiitazem tena the 100. Ila American gods nimeielewa etiiu. Lincoln wangu sasa,imenifanya nizidi kuipenda. Ananiogopesha bilquiskumeza watu kwenye naniliu yake tu.
We maserati namuogopa bilquis wako
Utaniambia basi. Ila american gods me nakuambia hot fire wangu. Itakimbiza baadaeMi ndo kwanza nataka kuipakua season moja kwanza niielewe maana unaweza cheki episode moja au mbili bado usiielewe,,naipakua season one yte kwanza nadhan nitaanza kuichek kesho nitakuja na mrejesho
Nilicheki traila sikuipenda.Kuna mtu ameshaitazama sense 8 humu?
Vipi habari ya Megan, the arrangement?Nilicheki traila sikuipenda.
Event naipataje hiyo mkuuThe walking dead
Game of thrones
Chuck (ya kitambo kidogo ila nzur)
strike back
Tomorrow People
Event
How to get away with murder
Arrangement inazidi kunoga, Megan sijui anaplan nini yaani, cant wait for the next episode.Vipi habari ya Megan, the arrangement?
I just love her she is smart kinoma nomaArrangement inazidi kunoga, Megan sijui anaplan nini yaani, cant wait for the next episode.
Mi sijaielewa to honest imekuja tofauti na nilivyotarajiaKuna kitu kipya kimetoka jamani. Iko na episode 2 tu. American gods nimeielewa sana
Namaanisha haijanishawishi nimejitahidi kuangalia mpaka episode 5Ni series yenye season 1
Mi nimeipendaMi sijaielewa to honest imekuja tofauti na nilivyotarajia
Yaan sina shaka na hilo kabsaUtaniambia basi. Ila american gods me nakuambia hot fire wangu. Itakimbiza baadae
Dat event nmeifuta jana aiseee,,moja ya show bomba kabsaEvent naipataje hiyo mkuu
Tukizid kuitazama mbele lazima itakua kali,,kuna watu wengi ambao wanaacha alama za kuuliza,,hasa kale katoto kalimkamata linkon kikamtwanga balaaaMi nimeipenda
nikishaangalia huwa nafuta mkuu so sinaEvent naipataje hiyo mkuu