Series (Special thread)

Sio yupo kwenye tv series mpya inaitwa billions 2016.
 
Mimi kwangu bado mpangilio ni huu
1.Breaking bad
2.Prison break
3.24
4.Lost
5.Homeland
6.The walking dead
 
kwa maelezo yako tu hauwajui vizuri watu wanaodeal na madawa ya kulevya hasa wauzaji wakubwa .... yale ndio maamuzi yao undugu kando kazi mbele.... na wengi wao wamepotea kwa kupitia mademu just like unavyohadithia ...fuatilia REAL LIFE STORIES ZA DRUGDEALERS ... jamaa kafit mbayaaaaa
 
unachanganya madesa.... REDDINGTON ni deserter / rogue psy agent.... ni jasusi aliyeasi na kwa kuasi kwake amepiga double agent na mashirika mbali mbali ya kijasusi na ya covrt black opps ( vikosi vya siri ) na magaidi wengi na anatumika kama source of intell sasa sijui unaanzaje kumlinganisha na drugdealer .... hivi mnaangaliaga tuuuuu au mnaangalia na kuzielewa!!!!
 
The Wire umeshaicheki?! Ya kitambo sana lakini ni moja ya series bora kabisa miongoni mwa crime drama. Ni type ya Power lakini kwangu mimi, The Wire ni bigger than Power...
the wire ni shidaaaa kumiliki ile mitaaa ,mara kusupply ila kiboko yao ni OMAR .....na akaja yule dogo aliyekuwa recruited na OMAR kanaitwa Michael ni shidaaaaa wao wanawaibia madruglord tu .... unamkuta Bubbles teja hahaahaaaa kule afande BUNK ni shidaaaa hujakutana na masterplan STRINGER BELL daaaah niilicheki kwenye 2004-8 kali sana aseee , kule Marlo huku Avon ,Wee -Bay the killer, Kima afande msagaji , kule detective mcNair daaah...umenikumbusha mbali sana jombaa ....kiswahili kikapigwa bandarini kwenye msako wa wapitishaji madawa ...noma sana hii kitu... kale kademu kauaji afu kasela kinomannoma nimekasahu jiina
 
Snoop habari nyingine... mara ya kwanza nilidhani mwanaume kuanzia uvaaji, utembeaji hadi uongeaji wake let alone actions zake!!


Lakini kuna vitu niliona vime-miss hadi nikalazimika kutafuta taarifa zake!! Yaani vile alivyo-act kwenye The Wire ndivyo alivyokuwa in real life-- yaani ni msela na mshari kwa kwenda mbele!! Hata character name (Felicia Pearson) aliyoitumia kwenye the Wire, ni jina lake halisi. Na hata aka ya Snoop alianza kuitwa kabla ya the Wire!

Halafu kuna Brother Mouzone, ukimwangalia unaweza kudhani Mchungaji fulani kuanzia uvaaji hadi uongeaji wake! Usipomkuta anasoma The Economist utamkuta na Harper's... yaani yale yale magazeti ya wasomi wanoko! Behind the scene, kumbe bonge la hitman!!!!

Yote tisa bado namkumbuka ex detective Mwalimu Prez alivyokuwa anapata shida na wale madogo wa All Black School!!
Siku nimekoma na wale madogo ni pale Prez alipotoa swali la hesabu but in no time Calvin tayari alishakuwa na jibu bila kushika karatasi wala kalamu hadi Prez akashangaa!! Anamuuliza amefanya fanya vipi hadi akapata jibu kwa haraka hivyo; Calvin anajibu "easy, B5 it got all the dinks!"

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…