Kwa wale wapenzi wa series kali ya into the badlands season 02 hatimaye imetoka.. Kwa ambao haimkuifatilia season 01 pitia link hapo chini na kwa wale wa seaon 02 kuifatilia pitia hii link pia.. Into the Badlands - O2TvSeries.Com
Habari zenu wakuu? kwa yoyote mwenye moja au zote kati ya series hizi nahitaji tafadhali napatikana DAR eneo KIGAMBONI FERRY pia naweza kufuata kama upo karibu kwa dar.
-prison break (complete)
-Nikita (complete)
-24 (complete)
tuwasiliane 0673428813 au ni PM.
NATANGULIZA SHUKRANI.