Inaitwa Second chanceWakuu kuna series nilichek nimesahau jina lake ila kuna character wa kihindi ni mdada alafu ana program inaitwa otto alimfufua askari aliye kufa kwa program maalumu .... naomba mnikumbushe jina na nataka nijue kama s2 imetoka au lah....
Ulikuwa cancelledNiliidharau sana mwanzon time after time ila duuuh ipo pouwa sna
Afadhali nmepata mwenzangu. Maana kuna mtu alinijbu story ya kindezi nlabaki Sawa Maana mm kwangu nmeiona na imenshawishiNiliidharau sana mwanzon time after time ila duuuh ipo pouwa sna
Stitch...naikumbuka hii. Ila niliishia season 1 kwan imeendelea?Mi naona heroes funga kazi ila inaendana kidogo na smallville...
Kuna hii nyingine "stitch" nayo nzuri... Mdada analive maisha ya mtu aliekufa ili kusolve kifo chake!!!
Rafiki nilifanikiwa. Asante na nafurahia shows. Nisaidiwe jambo lingine, hivi kupunguza size ya movie/MB ziwe chache nafanyaje? Maana movie ya MaGB so costifuMkuu ukigusa hiyo link device yako itakuuliza unataka udawnload kwa browser gani tumia uc browser
Itafute fasta....ni tamu sn comradesijaangalia hiyo,ila hiyo jina limenivutia nitatafuta
Karibu sana.Habari zenu. Mie mgeni jamani jf lakini since napenda movie and series. Naomba mnikaribishe tuwe wote mubashara kabisa
AsanteKaribu sana.
Yes! Shukran mkuuInaitwa Second chance
Inahusu nn?Kuna new TV series inaanza Leo. Inaitwa 13 REASONS WHY.
Aisee asikwambie mtu kwel inaanza kindez lakin weee ni tamu sanaAfadhali nmepata mwenzangu. Maana kuna mtu alinijbu story ya kindezi nlabaki Sawa Maana mm kwangu nmeiona na imenshawishi
Kuna msichana anajiua. Then baadae mwanafunzi mwenzie anapokea tapes zinazoelezea watu waliopelekea yeye kujinyonga na sababu 13 za yeye kujinyonga. Seems a pretty mysteryInahusu nn?
Toxicwap,o2tvseries,tvshow4mobile na app ya terrarium TV plus show box app. Zote hizo zipo Google searcgApp ya simu gani naweza cheki na kudownload series bila usumbufu mfano the 100, revolution na zingine
Yaani nkasema kwahyo mi naangalia movie ya miaka ya 70 Huku nmekunja sura. Baadae nilifurahi na roho yanguAisee asikwambie mtu kwel inaanza kindez lakin weee ni tamu sana
Mnaizungumzia series gani nimejaribu kurudi nyuma nijue mnachoongelea nimekosa niweke sawaYaani nkasema kwahyo mi naangalia movie ya miaka ya 70 Huku nmekunja sura. Baadae nilifurahi na roho yangu
Asante mkuuToxicwap,o2tvseries,tvshow4mobile na app ya terrarium TV plus show box app. Zote hizo zipo Google searcg