Series (Special thread)

Paprika mambooz,,,inahusu nn hyo?
Ni story za kuhusu Sherlock Holmes!!! The greatest detective ever lived... Kuna series na movies nyingi kuhusu yeye... Ila kwenye hizo series anasaifia polisi kama consultant kukamata wahalifu especially kwenye kesi za mauaji.... Kama MONK
Ni series nzuri sana, anasolve kesi ambazo zinaonekana hazisolviki
 
Kwa hyo ipi ni nzur niweze ipakua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…