Series (Special thread)

Terrarium Tv inachonikera episode ikitoka siioni on tym,inaandika no syno nn sijui huko. Mpaka nikae a days ahead Ndio naweza kuiona
Hapana labda kwako,,,ila mm mwanzo nikiona hivyo kama wewe lakin nikawa naikomalia kuidownloud hvyo hvyo,,kama jana nmeipata 24 saa mbili na robo usiku nilipopata mida wa kuipakua,,kinachotokea je kule america imetazamwa saa ngp? Ukijua hiko bas unaangalia na kuipakua baada ya dk43 fresh tu
 
hivi mnawezaje kuangalia series za wazungu
maana waweza shtukia watu wameanza kunjunjana.

hicho ndo kinanifanya nisiziangaliage
sasa unakosa uhondo kabisa wewe angalia tu ikifika hio sehemu ya kujunjana fumba macho ila usivute hisia kabisa umesikia princess kwa maana unakosa vitu hatari kabisa vya mbele.
 
Kunjunjana ni Ku Duu au??
 
Sawa mkuu. Hapo pa kuangalia baada ya wao kuichek nmeimanya hiyo
 
aah mimi mwenzenu wananichosha sana
kama zipo wasizonjunjana basi 2%
 
sasa unakosa uhondo kabisa wewe angalia tu ikifika hio sehemu ya kujunjana fumba macho ila usivute hisia kabisa umesikia princess kwa maana unakosa vitu hatari kabisa vya mbele.
aaah wananiudhi mimi
sitaki kuwazoea kabisa
 
Cjaiona hii
mbona ya kitambo kidogo mkuu hii ila iliisha mwaka Jana inahusu mambo ya kufikilika tu na ni best series ever kwangu kwenye ishu za kufikilika mkuu jaribu kuingalia aisee huto juta kabisa kupoteza mda wako kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…