Series (Special thread)

Kiukwel mm siwez tumia kitu ingine zaid ya terrerium tv tu bhas,,mwsho wa matatizo kwangu
 
embu nielekeze zaidi mkuu jinsi ya kuigrab pengine inaweza ikaondoa tatizo langu mkuu.
 
embu nielekeze zaidi mkuu jinsi ya kuigrab pengine inaweza ikaondoa tatizo langu mkuu.
Kama ulishawahi kudownload kwa kutumia torrents kama ulivyosema basi kugrab ni kile kitendo cha kutoa lile kwenye torrent site kuja kwenye torrent downloader yako kama ni utorrent, vuze,bit..nk na kuanza kuidownload.Na unafanya hivyo kwa kubonyeza ile magnetic icon au coppy url kisha upaste kwenye downloader yako.
 
nashukuru sana mkuu ngoja nipakue 24 legacy na designated survivor now nizicheki huku nikiwa nasubiri prison break next week.
 
Imetoka epsod ya pili season 2 bado inaendelea kutok kila wiki
Hivi into the bad land ina sehem ngapi katika sizoni hii ya pili
 
Ingia Seriesdl.com au todaytvseries.com yan hizi ni uhakika has a todaytveeries
 
Wakuu nimeanza kuicheki hii series ya SCANDAL...nimemaliza season ya kwanza ndio naianza ya Pili...
Kumbe tamu hivi Maana nilikuwa naidharau.
...Kerry Washington kavaa uhusika Sana humu.
 
Na hii series ya THE LAST SHIP nayo kali.. Maana naangalia plot ya kwanza nikiona mizunguo huwa na acha.
 
Wakuu nimeanza kuicheki hii series ya SCANDAL...nimemaliza season ya kwanza ndio naianza ya Pili...
Kumbe tamu hivi Maana nilikuwa naidharau.
...Kerry Washington kavaa uhusika Sana humu.
Scandal ni balaa nipo naangalia season 6 hapa,hutajuta kuichek.
Imetoka epsod ya pili season 2 bado inaendelea kutok kila wiki
 
Mkuu nielekeze kuitoa torrent kupitia idm
 
Mkuu nielekeze kuitoa torrent kupitia idm
Ukishaenda kwenye site ya torrent unacopy link au url ya file unalolitaka then unafungua window mpya google zbigz.com(hii ni catching site zipo nyingi ila napendelea hii) then una paste pale hiyo link itaicatch kwa sekunde kadhaa then unaclick download,hapa kama una idm ita pop up itaanza kudownload kama huna utatumia download manager ya browser au window.
NB. Zbigz free version unatakiwa usidownload file linalozid GB 1 na multiple download pia imekua restricted kwa free version.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…