Series (Special thread)

Espy umeichek The Arrangement??please I check my dear hutojutia ushauri wangu
Mamii nilishaicheki, yaani niliicheki kama jana yake then kuingia humu nikakuta umeirecomend. Boonge la kitu.
Kweli mapenzi hayajaribiwi.
 
kaka ndio hii imeandikwa Tubitv au inanitaka ni creat account
 
Ahaa basi inaonekana utakuwa ni kali sana ...ngoja niifanyie namnaa

Iyo empire ata iweje siezi iangalia kabisa. ..series imekaa kichoko halafu matukio ya ajabu ajabu tu, hii inawafaa mademu na mabishoo aisee.
 
Mkii unafahamu app inaohusiana na subtitle? Maana nikicheki kwa kutumia terrarium tv nashindwa kuona subtitle.
Ukingia Hapo terrarium TV Kama unataka Ku download au kuchek online kuna option ipo kabisa with subtitles. Hauitafuti wala vipi
 
Yaani hata nami naisubiri kwa hamu kweli. Sijui bibie akigundua rafiki yake ndio alilikisha picha zake itakuwaje!!
Yaani yule shoha sie. Halafu jamaa anlivyozimika na yeye akajitosa na yeye akapiga naked
ila nahisi kyle there is something behind mpaka akakimbiwa siku ya harusi
 
Yaani yule shoha sie. Halafu jamaa anlivyozimika na yeye akajitosa
ila nahisi kyle there is something behind mpaka akakimbiwa siku ya harusi
Yaani natamani kujua mnooo sababu ilopelekea akakimbiwa japo he seems like a good guy.
 
Bahati nzuri wamezimikiana, sijui wataendelea na contract au wataamia kufanya kweli kabisa.
ila me nahisi kyle atakuwa na kitu yule. Nina mashaka kweli,Maana convo Yale na Terrence Hata sikuielewa pale mpaka Megan akaenda kumchabo Kyle hotel episode 2
 
ila me nahisi kyle atakuwa na kitu yule. Nina mashaka kweli,Maana convo Yale na Terrence Hata sikuielewa pale mpaka Megan akaenda kumchabo Kyle hotel episode 2
Nikiangalia nahis kuna biashara inayofanyika nyuma ya pazia,,mbona kama hawajiamin amini sana,,kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia
 
Nikiangalia nahis kuna biashara inayofanyika nyuma ya pazia,,mbona kama hawajiamin amini sana,,kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia
Mimi pia nahisi kabisa kuna kitu nyuma ya pazia. Terrence na mke wake kwanza wana fight Sana kumtoa Megan kwa Kyle. While the boy amezama,kila nahisi kuzama kule kuna kitu anaficha. That's why anapata hasira aliulizwa why Lisbeth alimkimbia,na Lisbeth alimwambia Megan subiri utajionea mwenyewe...kuna kitu buana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…