Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,330
- 176,111
Telegram ni ile app ya kuchat?O2tvseries,tvshow4mobile,au tumie teregram
Telegram ni ile app ya kuchat?O2tvseries,tvshow4mobile,au tumie teregram
YesTelegram ni ile app ya kuchat?
Oooh!! Ok
Hapo sijaangalia arrangement tu bas,,halaf quantico kumbe season two nliona kam wanazingua maaan mara mafunzon mara uhalisia sikuoenda ile na ndio maana nikaacha kuicheki,,,ila blacklist kuanzia season 2 aaaah balaa sana,,,na homeland cjaichek kbsa naona km ya zaman sanaAaghaa. Lost sikushauri kwakweli. Mafuta blindspot,blacklist,Quantico,the arrangement,scorpion,the homeland,APB
Quantico season 2 ipo kma season 1 tu. Ina flashback nyingi. Homeland sio ya nchi hii mkuu,the arrangements ndio imeanza iko season 1 haijafika Hata episode 5Hapo sijaangalia arrangement tu bas,,halaf quantico kumbe season two nliona kam wanazingua maaan mara mafunzon mara uhalisia sikuoenda ile na ndio maana nikaacha kuicheki,,,ila blacklist kuanzia season 2 aaaah balaa sana,,,na homeland cjaichek kbsa naona km ya zaman sana
Duuuh!! Homeland ilinishinda kwakweli.Quantico season 2 ipo kma season 1 tu. Ina flashback nyingi. Homeland sio ya nchi hii mkuu,the arrangements ndio imeanza iko season 1 haijafika Hata episode 5
Arrangement inahusu nn,,,maana movie ambayo haina ujasusi na high tecnology kiukwel naukua sizipendi sana,,,napenda series zenye majumba makali,magar makali,upelelez,,watu wenye double standands,,aaaah kama designated vile au nikita,blacklist yaan hvyo yaanQuantico season 2 ipo kma season 1 tu. Ina flashback nyingi. Homeland sio ya nchi hii mkuu,the arrangements ndio imeanza iko season 1 haijafika Hata episode 5
We kaichek Hata episode mojaArrangement inahusu nn,,,maana movie ambayo haina ujasusi na high tecnology kiukwel naukua sizipendi sana,,,napenda series zenye majumba makali,magar makali,upelelez,,watu wenye double standands,,aaaah kama designated vile au nikita,blacklist yaan hvyo yaan
Ngoja nipakue angalau episode 3 ndio naweza ielewa,,,nitakuja na mrejeshoWe kaichek Hata episode moja
Mkuu hii kitu ni nomaaa ..napata kitu roho inapendaa kabisaaaTerrerium tv
Mkuu APB ni kali kinomaa ..ngoja nianze kutafutana na io the arrangementAaghaa. Lost sikushauri kwakweli. Mafuta blindspot,blacklist,Quantico,the arrangement,scorpion,the homeland,APB
Ni kweli mkuu hii app ni nzuri sana ...kwanza ina class zote HD, HQ, 360p na nyinginezoo ..daah umetisha sana brazaa ....apa napata kitu roho inapenda ....Jaman kama kuna mtu anapata shida ya kuchek movie on line or kudownloud plz fanya hivi....
Ingia google play store ipakue app moja inaitwa terrerium TV,,then uone maajab yake,,ukitaka kuzipakua movie na series zote unazotaka dunian unazipata,,ni nyepes sana kutumia,haina mzunguko,na unachagua ukubwa unaotaka,,,kuanzia mb 55 mpka gb moja... Kazi kwenu,,hapa napakua the 100 season 4 episod 5 imetoka jana,na designated survivor nayo inaingia mdogo mdogo episode 12
Kama hautojali naomba uscreen shot ni app ipi maana zinakuja nyingi ukisearch.Mkuu hii kitu ni nomaaa ..napata kitu roho inapendaa kabisaaa
Mkuu lost niyatokea 2006 mama sikosei 2005toka 2010 sijui hiyo series, Hata sina mashiko nayo kabisa
Ina season one na two ep ziko 13 per season imeoshia season 2 this year inatoka next seasonNi series au kitu gani? Kama series iko season ya ngap na episode ya ngap latest?
Same here nkaitupilia kwenye rycle binDuuuh!! Homeland ilinishinda kwakweli.
Hiyo 24 legacy ni jack bouer?Series ninazo zifuatilia kwa sasa ni;
Six
Training day
24 legacy
Designated survivor
The blacklist redemption
Scandal
Ongeza takenSeries ninazo zifuatilia kwa sasa ni;
Six
Training day
24 legacy
Designated survivor
The blacklist redemption
Scandal
Hapana ni actor mwingine.Jack bouer yupo kwenye series nyingine inaitwa designated survivor.Hiyo 24 legacy ni jack bouer?