Dominionwatu naona hawaangalii
the flah
arrow
the blacklist (one of the best)
if loving you is wrong
one tree hill
the last ship
travellers
taboo
scorpion
dexter
suits
lost(balaa sana hii)
24(mwisho wa matatizo)
Ina hamasisha nn?Spartacus niliishia season one! Ilikua inaniogopesha ile wanavyopigana!!! Na inahamasisha sana hii series aisee!!! [emoji4][emoji4]
Ok nashukuru kwa taarifa MkuuItakuwa na episode 10
Io nmeona mzeee babaa ni mpya. .yaonekana ina story nzuri. Chek afu leta mrejesho apa.Kuna nyingine nmeiona leo,inaitwa iron fist ni ya netflix ngoja niiangalie ntaleta marejesho.
Iyo ni cancelled.Mi nataka THE SECRET CIRCLE season 2
Wameniumiza saana!!! Kwanini walicancell?Iyo ni cancelled.
Ni sababu za kibiashara mara nyingi na kuwa na viewers wachache.Wameniumiza saana!!! Kwanini walicancell?
Ni siku nyingi sana mbona? Kama alivosema mkuu apo juu ..huwa ailipii kivileeeWameniumiza saana!!! Kwanini walicancell?
Oooh!Ni sababu za kibiashara mara nyingi na kuwa na viewers wachache.
Colony sikuipenda nikaachana nayo.Kuna io Colony. Ni shidaa
Ungeweka screenshot ya icon ya hiyo app sio screenshot ya app.
Mkuu hebu weka icon yake hiyo appNi kweli mkuu hii app ni nzuri sana ...kwanza ina class zote HD, HQ, 360p na nyinginezoo ..daah umetisha sana brazaa ....apa napata kitu roho inapenda ....[emoji23] [emoji23] [emoji23]nomaaa sanaaaaaa
Icon yake hiyo hapo.Ungeweka screenshot ya icon ya hiyo app sio screenshot ya app.
Daah kwanin mkuu mbona ni kali sanaa ...kwa upande wangu mim ni nzur tuColony sikuipenda nikaachana nayo.
Machi kumi na tisa mkuu.Into the badlands bado wakuu??
Yani kwakifupi kesho.Machi kumi na tisa mkuu.
Ungeweka screenshot ya icon ya hiyo app sio screenshot ya app.