Hivi ni muvie gani ambayo ipo kama ile movie ya apocalypto??? muvie kama zile yani muvie ina reflect maisha ya zamanii kabisa watu wakiishi msituni, na kuna mapigano ya hatari na wanatumia silaha za jadi. Anaejua muvie au series kama hizo anijuze. Asanteni
Aisee mwenye jina la series ambayo inahusiana na masuala ya kutoroka prison kama ile prison break aniambie niidownload maana ninapenda sana series za aina hiyo. Jinsi genius anapotega mchongo wa kutoroka lakini hafanikiwi kirahisi