Series (Special thread)

Me am asking??? mkuu sijui coz niliishia season 9 episode 13
Kumbe ulikuwa unauliza!! Imerudi inaitwa 24 Legacy lakini sterling sio Jack Bauer!! Hata hivyo, bado inaendelea kukamata kama ilivyokuwa wakati wa Bauer...
 
Shida saiz kuna ma series kibao na yote makali.. Kila wiki unakuta napiga series si chini ya sita.. Noma sana
 
Naombeni link ya ku download 24 legacy kupitia simu, msaada wakuu
 
Telegram ndio inakuaje, ni ile app ya telegram au?? Msaada zaidi mkuu
Yap hiyoo app ya telegram kuna chanel kibao kule zinapost series movies na mambo mengne ko ni ww tuu... Uki install jaribu ku search hiz chanel iTv share chanel au tv updates
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…