Series (Special thread)

Wazee mnatumia njia gani kushusha mzigo? Mimi nilikuwa natumia mediaget na express Files lkn ck hizi zinagoma
 
mkuu chige now naelewa maana yako kuwa "character" anatengenezwa na writter wa movie.... kweli waandishi wa 24 ni next level na wameniprove wrong aiseee..... 24 bila jack naona imeanza kuwezekana kabisa... this season will be lit
Nilikuwa nasita kuicheki ila kwa hii comment yako basi umenipa hamasa ya kuitafuta.
 
Nilikuwa nasita kuicheki ila kwa hii comment yako basi umenipa hamasa ya kuitafuta.
Mkuu ulichelewa wap nilikula primiere kabisa.... Ni moto wa kuotea mbali na techno ya sasa imekuwa bora kabisa... Jne E01 itakuwa hewan.
 
Shooter ushuzi mkuu
 
Wadau Viking vip naisubir mpaka sasa naona chenga tu
 
For sure sijawah ielewa 24 yenyew lakn hii legacy naomba niamn ni kali hatar naiweka level za kina shooter na designated
Level za shooter na designated survivor??? Huko ni kuikosea adabu 24.
 
Kaka mishe za Eric carter si mchezo kaka. Hpa jumanne naona kama mwakani. Ingawa unasema umeona itakuwa plot driven but nahisi ni character driven coz kuanza tu mtu unakua anxious kuona dogo atafanya nn next. Imagine dogo anateka central police
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…