Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,277 Reaction score 33,587 Oct 3, 2016 #4,841 atoto said: Hahaaaa mbona unaguna? Click to expand... Ako kasin unachoomba uwepo ndio kimenifanya nigune
atoto said: Hahaaaa mbona unaguna? Click to expand... Ako kasin unachoomba uwepo ndio kimenifanya nigune
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,842 Mgagaa na Upwa said: Ako kasin unachoomba uwepo ndio kimenifanya nigune Click to expand... Si ili nikashuhudie kama ni kweli kweli au wanaigiza
Mgagaa na Upwa said: Ako kasin unachoomba uwepo ndio kimenifanya nigune Click to expand... Si ili nikashuhudie kama ni kweli kweli au wanaigiza
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,277 Reaction score 33,587 Oct 3, 2016 #4,843 atoto said: Si ili nikashuhudie kama ni kweli kweli au wanaigiza Click to expand... So km ni kweli na ww utafanya?
atoto said: Si ili nikashuhudie kama ni kweli kweli au wanaigiza Click to expand... So km ni kweli na ww utafanya?
K Kilemachocho JF-Expert Member Joined Feb 19, 2016 Posts 560 Reaction score 365 Oct 3, 2016 #4,844 Sehemu kabambe kabisa
Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Oct 3, 2016 #4,845 atoto said: Kwakweli thats true friendship haswaaa! Tasha mwanamke wa kweli, na hakutaka kuwajengea wanae chuki dhidi ya baba yao, tena pamoja na kuachwa ila bado hakumuombea mabaya ghost. Click to expand... Mmesahau. Kipindi Tasha yuko na Sean alikua tayari ghost afe na hata Sean alipokufa Tasha thought ghost killed him so alimhate balaa.
atoto said: Kwakweli thats true friendship haswaaa! Tasha mwanamke wa kweli, na hakutaka kuwajengea wanae chuki dhidi ya baba yao, tena pamoja na kuachwa ila bado hakumuombea mabaya ghost. Click to expand... Mmesahau. Kipindi Tasha yuko na Sean alikua tayari ghost afe na hata Sean alipokufa Tasha thought ghost killed him so alimhate balaa.
Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Oct 3, 2016 #4,846 atoto said: Hahaaaa!! Eti wako chiu kabisaa alafu uniambie wanaigiza, basi ngoja nami nikaombe japo kasin kamoja tu. Click to expand... Yaani unaeza kuta hata kukiss hawajawahi.....technology
atoto said: Hahaaaa!! Eti wako chiu kabisaa alafu uniambie wanaigiza, basi ngoja nami nikaombe japo kasin kamoja tu. Click to expand... Yaani unaeza kuta hata kukiss hawajawahi.....technology
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,847 Mgagaa na Upwa said: So km ni kweli na ww utafanya? Click to expand... Hahaaaaa!! Hili swali hili.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,848 Innocizy said: Mmesahau. Kipindi Tasha yuko na Sean alikua tayari ghost afe na hata Sean alipokufa Tasha thought ghost killed him so alimhate balaa. Click to expand... Mmmh!! Hii siikumbuki, ninachokumbuka alimchukia ila hakumuombea mabaya.
Innocizy said: Mmesahau. Kipindi Tasha yuko na Sean alikua tayari ghost afe na hata Sean alipokufa Tasha thought ghost killed him so alimhate balaa. Click to expand... Mmmh!! Hii siikumbuki, ninachokumbuka alimchukia ila hakumuombea mabaya.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,849 Innocizy said: Yaani unaeza kuta hata kukiss hawajawahi.....technology Click to expand... Mmmmh!! Yaani hili akili yangu imegoma kuamini.
Innocizy said: Yaani unaeza kuta hata kukiss hawajawahi.....technology Click to expand... Mmmmh!! Yaani hili akili yangu imegoma kuamini.
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,277 Reaction score 33,587 Oct 3, 2016 #4,850 atoto said: Hahaaaaa!! Hili swali hili. Click to expand... Mtego nn?
Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Oct 3, 2016 #4,851 atoto said: Mmmh!! Hii siikumbuki, ninachokumbuka alimchukia ila hakumuombea mabaya. Click to expand... Rudia season 2
atoto said: Mmmh!! Hii siikumbuki, ninachokumbuka alimchukia ila hakumuombea mabaya. Click to expand... Rudia season 2
Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Oct 3, 2016 #4,852 atoto said: Mmmmh!! Yaani hili akili yangu imegoma kuamini. Click to expand... Coz ndio inawaza hiko tuuu na sio kingine
atoto said: Mmmmh!! Yaani hili akili yangu imegoma kuamini. Click to expand... Coz ndio inawaza hiko tuuu na sio kingine
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,853 Mgagaa na Upwa said: Mtego nn? Click to expand... Hahahaaaa! Nitajua nikipata hako kasin kenye mnjunjumuano
Mgagaa na Upwa said: Mtego nn? Click to expand... Hahahaaaa! Nitajua nikipata hako kasin kenye mnjunjumuano
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,277 Reaction score 33,587 Oct 3, 2016 #4,854 atoto said: Hahahaaaa! Nitajua nikipata hako kasin kenye mnjunjumuano Click to expand... haya mkuu,kila la heri
atoto said: Hahahaaaa! Nitajua nikipata hako kasin kenye mnjunjumuano Click to expand... haya mkuu,kila la heri
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,855 Innocizy said: Rudia season 2 Click to expand... Aiseeee!! Innocizy said: Coz ndio inawaza hiko tuuu na sio kingine Click to expand... Hamna bwana inawaza na mpz wa tom alivyokufa alafu mjamzito. Jamani lucious wa empire ananifurahisha alivyo na wivu kwa cookie wakati waliahaachana.
Innocizy said: Rudia season 2 Click to expand... Aiseeee!! Innocizy said: Coz ndio inawaza hiko tuuu na sio kingine Click to expand... Hamna bwana inawaza na mpz wa tom alivyokufa alafu mjamzito. Jamani lucious wa empire ananifurahisha alivyo na wivu kwa cookie wakati waliahaachana.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,856 Mgagaa na Upwa said: haya mkuu,kila la heri Click to expand... Eti kila la heri
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,277 Reaction score 33,587 Oct 3, 2016 #4,857 atoto said: Eti kila la heri Click to expand... Yah!sie tutaisubiria hiyo sin kwa hamu sana tena
Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Oct 3, 2016 #4,858 atoto said: Aiseeee!! Hamna bwana inawaza na mpz wa tom alivyokufa alafu mjamzito. Jamani lucious wa empire ananifurahisha alivyo na wivu kwa cookie wakati waliahaachana. Click to expand... Hio hata season 1 sikumaliza
atoto said: Aiseeee!! Hamna bwana inawaza na mpz wa tom alivyokufa alafu mjamzito. Jamani lucious wa empire ananifurahisha alivyo na wivu kwa cookie wakati waliahaachana. Click to expand... Hio hata season 1 sikumaliza
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,859 Innocizy said: Hio hata season 1 sikumaliza Click to expand... Hahaaaa!! Ndio wale mliochukizwa na ugay?
Innocizy said: Hio hata season 1 sikumaliza Click to expand... Hahaaaa!! Ndio wale mliochukizwa na ugay?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Oct 3, 2016 #4,860 Mgagaa na Upwa said: Yah!sie tutaisubiria hiyo sin kwa hamu sana tena Click to expand... Sasa hiyo haitorushwa hewani, itabaki maktaba
Mgagaa na Upwa said: Yah!sie tutaisubiria hiyo sin kwa hamu sana tena Click to expand... Sasa hiyo haitorushwa hewani, itabaki maktaba