Series (Special thread)

Nimejikuta nacheka.naikumbuka hiyo scene.anajaribu namna tofauti za kujitambulisha ni FBI
Jamaa ni hatariiii,mi mwenyewee nakipenda hicho kipande ile mbayaa,na jamaa linavyojua kutembea kwa mikwalaaaa[emoji16] [emoji16]
 
Jamaa ni hatariiii,mi mwenyewee nakipenda hicho kipande ile mbayaa,na jamaa linavyojua kutembea kwa mikwalaaaa[emoji16] [emoji16]
Jamaa kapiga paper za Police Academy ili atimize ndoto zake za kuwa polisi lakini mara zote hizo akadunda; akaona isiwe taabu; ngoja nikawe CO!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…