Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 743
- 835
Nimejikuta nacheka.naikumbuka hiyo scene.anajaribu namna tofauti za kujitambulisha ni FBIYaani watajwe woooote but Captain Bellick was my favorite! Bado nakumbuka alipopewa badge ya FBI na Alexander Mahone akawa anaipigia tizi jinsi ya kuji-introduce!
Mahone zile akili akiwa FBI ni shidaAlex mahone,michael scofield,hawa jamaa ni sumuu
Not anajua ni dada yake bali mama yake mkubwaMkuu umenikumbusha mbalii sana,,grichen dada katili wa kimya kimya ambaye mtoto wake anajua kwamba yy ni dada ake
thanks mkuu,,ivi unakaa wapi nikuletee angalau kiroba tu
thanks mkuu,,ivi unakaa wapi nikuletee angalau kiroba tu
Ramsey ni mbabe wa tactics.For sure I have seen the war of bustards
Yaani Ramsey na ukatili wote ule one against one battle ****** kabisa kapigwa kilaini sana!
Kwa kuwa mdogo wake sansa kafariki na blandon ndio hivyo tena. Basi jamaa anajiandaa kuwa Mme wa malikia sansa.
simwamini littlefinger hata kidogo..
Marekani wanawatumia watu maarufu kujitangaza wao ni mashoga ili jamii iyone ni kitu cha kawaida na ili kuendelea kuwa kwenye game! Mwangalie Hasheem Thabeet wapi alipo sasa hvi masharti gani aliyo yakataa hadi akatupwa nje ya game! think big broJamaa anafirwa full stop.
Index of /Serial/The Last Ship/Wakuu naombeni link ya *the last ship*
John Abruzz mtaliano matata yule mbabe kwa kwenda mbele familia yake inamsihi asiende yeye akakomaa.Aisee yule John aliye mkata mkono T Bag naye afufuke bana!!
Anasema yeye anampigiaga magoti Mungu tuu na pale kwa wale polisi hamuoni Mungu!!John Abruzz mtaliano matata yule mbabe kwa kwenda mbele familia yake inamsihi asiende yeye akakomaa.
Kile chuma kilikufa kifo kibaya na kama vile familia ilikuwa inajua coz wife wake alimsisitiza sana asiende.Anasema yeye anampigiaga magoti Mungu tuu na pale kwa wale polisi hamuoni Mungu!!
Duuuuuuuuuuuh ebhanaaaaaah aasanteniiiiiiiiiiiiiiii,
Remember Arya Stark is coming home. Na as far as I remember Sansa na Arya hawaivi tangu enzi za uhai wa baba yao so tutegemee mengi mkuu.Kwa kuwa mdogo wake sansa kafariki na blandon ndio hivyo tena. Basi jamaa anajiandaa kuwa Mme wa malikia sansa.
Huyu na yule jamaa asie na dick kwa kuona mbali hawajambo.