The originals iko poa sanaaa cant wait for a new season..!!The originals
The walking dead
Into the badlands
hivi mkuu twisted imefika season ya ngap??nina mda sana naifatilia sioni muendelezo wakeHapana hakuna utalam ni bundle yako
around september 22.Wadau blindspot inarudi lini?
Ahsante mkuuaround september 22.
spoiler alert : jina halisi la jane doe litajulikana kwene episode ya kwanza.
source : Martin Gero (Executive producer wa blindspot)
nimeshangaa sana watu wanaweka maseries ya ajabu ajabu humu et wanayapenda lakn hawaitaji kabsa hyo "the originals" au hawajaiona mkuu, nizaid ya series yn.The originals
The walking dead
Into the badlands
umeona eeh naipenda mpaka basinimeshangaa sana watu wanaweka maseries ya ajabu ajabu humu et wanayapenda lakn hawaitaji kabsa hyo "the originals" au hawajaiona mkuu, nizaid ya series yn.