Series (Special thread)

NY ipo under attack halafu watu wa usalama wapo soft kivipi?!

Hofu yangu hapa isije ikawa unaona wapo soft kumbe ukawa unachanganya PRESENT DAY Events na Flashbacks/Flash forward!
 
Nachelea kusema sasa wanaboa wameifanya kuwa complex kama lost
There you are!! Unapochanganya Present Day Events pamoja na lots of Flash forward na Flashbacks; ni rahisi sana kuchanganya watu... ni rahisi kujisahau ikiwa wapo jana, leo au kesho!!

Lost na Quantico wamechanganya kwa kiasi kikubwa sana matukio ya Present Day, Flashbacks na Flash forward!
 
NY ipo under attack halafu watu wa usalama wapo soft kivipi?!

Hofu yangu hapa isije ikawa unaona wapo soft kumbe ukawa unachanganya PRESENT DAY Events na Flashbacks/Flash forward!
Hapana mkuu sijachanganya wala nini.. My point ni kwamba limetokea shambulio la kigaidi, ghorofa refu limeshushwa lakini ile tension haipo kabisa. Hata ile panic ya raia haipo.. Yaani kawaida sana ukilinganisha na series nyingine. Ndo maana nasema ni soft, ingawa story yake sio mbaya.
 
8 Nakubaliana na wewe kwamba tukio limepooza lakini ukichunguza vizuri utagundua inatokana na ma-flashbacks na flash foward zinazoenda sambasamba na Present Day Events!

Kimsingi, lile tukio sio la Present Day bali Flashfoward!! Kama unakumbuka, present day event ilikuwa introduction iliyokuwa inaendelea Quantico. Nakumbuka maneno ya mwisho ya Miranda yalikuwa "Now let's see if you can survive....!" Hapo hapo ikapigwa flash forward ya Alex akiwa kwenye kifusi!

Kimsingi, baada ya ku-flash forward, ile scene isingeweza kuwa deep kv walitakiwa warudi tena to present day... Quantico!!
 
[quote uid=24192 name="kussy" post=16000883]Game of Thrones Season 6 ndani ya nyumba![/QUOTE]<br /><br />Red women ana siri nzito naanza kuhisi snow atafufuliwa



Of coz hata Mimi naamin hvyo..
 
mara mia niangalie lost
 
Ghosts..... Games of Thrones....jamaaa hatari hawa

White Walkers
 
Tafuta The Americans
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…