Series (Special thread)

Series (Special thread)

nimetazama Dead End Job, storyline ilikuwa nzuri sana tu, ila wakorea wamezidisha utoto mpaka movie ikaboa, vile nilipenda that idea ya story had to watch it till the end..!
Mimi mpaka Sasa nimecheki episode 3 nikaikubali huo utoto wameweka kwenye episode zinazofuata Nini?
 
Tuwaambie mara ngapi kuwa Wakorea ni matapeli?

Hao saizi hata nilkikuta series ina rate ya 10 na ipo on trending wiki nzima, bado haiwezi kunishawishi kuiangalia.

Wakorea na Wahindi kiukweli haya mataifa hayajanishawishi kwa kiasi cha kutosha kuweza kuweka umakini wangu kwenye kazi zao.
Nyingi ziko hivyo hata Mimi hiyo Hali siipendi vibaya unaweza kukuta movie ni ya action halafu wanaingiza utoto unakuta character anbaye role yake ni ya userious wanataka awe kwenye u comedy na kujitoa akili ila pamoja na yote Wana baadhi ya movie ni Kali na hazina utoto kabisa Kuna single movie moja hivi inaitwa I saw the devil sio ya mashetani ila inaukatili kiwango cha high level ni moja kati ya single movie Kali niliyoikubali kwa wakorea
 
Ila wana zaga la kijasusi sema la kitambo linaitwa IRIS nililikubali
Kwenye movie wanayo
Train to busan
Na series nyingine ni ile ya one two one two movement 😁
Hapa kwenye picha
View attachment 3704811
Nilitamani waongeze season nyingine
Hapa nipo nashusha Iris niiludie

Mule walikua Serious aseeee
 
images.jpeg

Mzigo upo hewani 🔥
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom