Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii hiko moto uchawi wake ni wa kawaida na ni watu wawili tu ndio wenye nguvu za kichawi the rest kuanzia starring na wengine hawana ni nzuri Mimi sipendi series za kifalme ila hii imenikosha hasa storyline yake na mkono wa humo ndani
Nitaicheki nione kama yaliyomo yamo
 
Ndugu zanguni hii Apollo has fallen episode yake ya kwanza tu imefanya niikubali sana labda waje kuzingua mbele.
1. Vincent kanisikitisha sana
2. Kuna mtu kala nyundo kama watu wanapasua kokoto vile 😤😤

Nina swali kwenu nyie mnao isifia SPECIAL OPS LIONESS, je ina hata episode moja inayo fikia eoisode1 ya hii Apollo? Ili niishushe?
 
IMG_1729.jpeg

Ipeni muda hii, ni episodes 4 tu ila za moto sana!
 
Mobland na gentlemen ni series nzuri sana.

GANGS OF LONDON NA CONTINENTAL FROM JOHN WICK'S WORLD SIJUI WALIPOTELEA WAPI ni series ninazo zikubali sana. Zinatufundish maana halisi ya familia na namna ya kulinda maslahi ya familia kwa namna yoyote ile.

Wengi huitana familia wakikukitana kufinya ugali mezani. Ila likikufika jambo wana mute

Kibongo bongo familia za hivyo zipo ila ni chache sana.
ndiyo natazama Gangs of London niko najilaumu hapa nilichelewa wapi..!
halafu kwani ndugu zetu mnatazama nini kipya sahii mbona mnakimbiza mwizi kimya kimya..!? ama ni zile za kula halafu futa mdomo..!😁😁
 
Hii hiko moto uchawi wake ni wa kawaida na ni watu wawili tu ndio wenye nguvu za kichawi the rest kuanzia starring na wengine hawana ni nzuri Mimi sipendi series za kifalme ila hii imenikosha hasa storyline yake na mkono wa humo ndani
nimetazama Dead End Job, storyline ilikuwa nzuri sana tu, ila wakorea wamezidisha utoto mpaka movie ikaboa, vile nilipenda that idea ya story had to watch it till the end..!
 
Ndugu zanguni hii Apollo has fallen episode yake ya kwanza tu imefanya niikubali sana labda waje kuzingua mbele.
1. Vincent kanisikitisha sana
2. Kuna mtu kala nyundo kama watu wanapasua kokoto vile 😤😤

Nina swali kwenu nyie mnao isifia SPECIAL OPS LIONESS, je ina hata episode moja inayo fikia eoisode1 ya hii Apollo? Ili niishushe?
Apollo ni kali mno, nilitoka muambia juzi mtu aliye recommend humu ndani, na yes, Lioness ni nzuri pia on it’s own way..!

kuna kitu kinaitwa Nocturne, japo kimetoka episode 2 tu mpaka sasa, uliye recommend thank you so much..!🙌🏾
 
nimetazama Dead End Job, storyline ilikuwa nzuri sana tu, ila wakorea wamezidisha utoto mpaka movie ikaboa, vile nilipenda that idea ya story had to watch it till the end..!
Tuwaambie mara ngapi kuwa Wakorea ni matapeli?

Hao saizi hata nilkikuta series ina rate ya 10 na ipo on trending wiki nzima, bado haiwezi kunishawishi kuiangalia.

Wakorea na Wahindi kiukweli haya mataifa hayajanishawishi kwa kiasi cha kutosha kuweza kuweka umakini wangu kwenye kazi zao.
 
Maeve kaigiza na Conrad kwenye single movie moja ya 2025, inaitwa ‘the thursday murder club’, nilivyoona tu sura za Mobland nikaipakua chap, hiyo movie plot twist yake ilikuwa matata sana..!🙌🏾
Lazima niichukue
 
Tuwaambie mara ngapi kuwa Wakorea ni matapeli?

Hao saizi hata nilkikuta series ina rate ya 10 na ipo on trending wiki nzima, bado haiwezi kunishawishi kuiangalia.

Wakorea na Wahindi kiukweli haya mataifa hayajanishawishi kwa kiasi cha kutosha kuweza kuweka umakini wangu kwenye kazi zao.
Ila wana zaga la kijasusi sema la kitambo linaitwa IRIS nililikubali
Kwenye movie wanayo
Train to busan
Na series nyingine ni ile ya one two one two movement 😁
Hapa kwenye picha
1793817523917.jpeg

Nilitamani waongeze season nyingine
 
Wakorea wana nafuu brother...

Wahindi ni wehu asee, unakuta story nzuri ila namna ilivyoigizwa unachoka...
 
sentence ya kwanza umeisema kwa sauti ya baba..!😁😁

wana kazi zao tu nyingine unakuta ni nzuri na serious mbona sometimes jamani, ila hawa watu wanaweza kukudhalilisha ukaonekana hauna maana..!🙌🏾
 
Ila wana zaga la kijasusi sema la kitambo linaitwa IRIS nililikubali
Kwenye movie wanayo
Train to busan
Na series nyingine ni ile ya one two one two movement 😁
Hapa kwenye picha
View attachment 3704811
Nilitamani waongeze season nyingine
Iris ni kweli

Ila hizi zingine naona ni mashindano ya kuonesha plastic surgery tu.

Wanajitahidi kuwa na stori ila mpangilio wa matukio ni mbovu halafu hakuna seriousness muda wote yana deka deka na kucheka hovyo.

Yani kuna time wanaigiza ndani ya igizo, hiyo mimi kuivumilia ni ngumu sana.

Movie au series za namna hiyo labda ziwe zinarushwa kwenye TV ya jela ambapo sina option.
 
sentence ya kwanza umeisema kwa sauti ya baba..!😁😁

wana kazi zao tu nyingine unakuta ni nzuri na serious mbona sometimes jamani, ila hawa watu wanaweza kukudhalilisha ukaonekana hauna maana..!🙌🏾
Kuna Iris na ya mwishoni kuipenda ni innocent defendant.

The rest napenda kuwaona Wakorea wakiwa wameshirikishwa kwenye projects za hollywood tu
 
Wakorea wana nafuu brother...

Wahindi ni wehu asee, unakuta story nzuri ila namna ilivyoigizwa unachoka...
Wazee wa mapigo ya mgandisho na mustachi.

Movie unakuta ina masaa mawili hadi matatu unajiuliza humo ndani kuna kipi cha maana.

Ukija kuitazama unaona scene za mapigano zimechukua hadi dakika 10, kwenye hizo dakika 10 kiuhalisia ilikuwa ni dakika 2 ila kwasababu action zao wametumia slow motion hivyo wame extend hadi dakika 8.

Ukitoka hapo unakutana na ni nyimbo, beat la intro linachukua dakika 1:30 hapo bado hawajaanza kukimbizana kwenye maua.

Kiukweli mazee hizi movie siziwezi kabisa.
 
Ndugu zanguni hii Apollo has fallen episode yake ya kwanza tu imefanya niikubali sana labda waje kuzingua mbele.
1. Vincent kanisikitisha sana
2. Kuna mtu kala nyundo kama watu wanapasua kokoto vile 😤😤

Nina swali kwenu nyie mnao isifia SPECIAL OPS LIONESS, je ina hata episode moja inayo fikia eoisode1 ya hii Apollo? Ili niishushe?
LIONESS ni nzuri kama unataka kuwajua "wasiojulikana" na kazi zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom