Series (Special thread)

Hio sijawahi kuisikia ngoja niitafute
Ni mchekeshaji mkuu


Hizo ni tour zake...


Binafsi kwa mara ya kwanza nilimsikia Kevin Hart anasema favorite comedy wake ni Dave Chappelle nikasema embu nimfuatilie...

Owaaa mwamba ni master wa style yake akianza story zake hujui punchline itakuja saa ngapi😃😃😃
 
Telegram inaleta habari za kulipia 3300
 
Thank you so much, sikuwa nmejua 🤗❣️
Naomba list sasa ya vitu vizuri
View attachment 3680562
  1. 🔥 Slow Horses — Spy, action, conspiracy
  2. 🧠 Severance — Mystery, psychological thriller, sci-fi
  3. 🏢 Silo — Sci-fi, mystery, survival
  4. 🌌 Dark Matter — Sci-fi, alternate realities, thriller
  5. 🚀 Foundation — Epic sci-fi, war, politics
  6. 🦖 Monarch: Legacy of Monsters — Monsters, action, sci-fi
  7. ⚔️ See — Action, survival, war
  8. 🕵️ The Last Thing He Told Me — Mystery/thriller
  9. 💣 Echo 3 — Military action, hostage rescue
  10. 🛩️ Hijack — Airplane hijacking, negotiation, suspense
 
Anko 2026 hii unatazama movie ina mb 200 au ni 360 nyuzi
Huko kwwnye 1080 nitafika tuu mkuu 😃😃


Mazoea mabaya muda mwingi naangalizia kwenye simu maana inakua rahisi nimemaliza kucheza game naona wacha nikate episode moja...


Nikivuta nchi za kutosha mkuu mapema sana mtaona 1080 na kuendelea
 
Inahusu nini?
1. Conspiracy (makubliano baina ya watu kufanya jambo la hatari/baya)
2. Secret project (ikiwa inafanyika kwenye facility moja chini ya ardhi)

Hivyo Neagley kama star wa muvi analo jukumu la kusambaratisha hivyo vyote huku akikumbana na vikwazo vya askari ambao ni corrupt wakipewa nguvu na watu wenye UKWASI
 
Hakunaga series ya madawa ambayo ni mbovu. Series yoyote unayohusu cartels na mishe za unga fatilia zote uone kama Kuna hata moja mbaya. Madawa mda wote ni vifo, vitisho, mauaji, bunduki sana, ubabe, polisi, uvamizi. Ni wewe tu na taste Yako.
Uko sahihi mkuu...

Hata mimi baada ya kuziangalia Narcos zote na Queen of the south nilishangaa kwanini Breaking bad iwe mbovu wakati ujumbe ni mmoja na hizo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…