Eeh mkuu hii movie ina plot nzito kweli, kipande cha mwisho kinakufanya ukae kimya muda mrefu. Unajua nimeipenda jinsi story inavyojengua polepole hadi kufikia climax. π
Fan theory wanasema huwenda isiwe 300 years, wengine wanasema 140 years.. of coarse kuna matumizi ya nanotech kwenye cryo preservation ila timing na mazingira yalivyo wengi wanasema havi match. Wengine wanasema huenda ni 50 years..
Nimemaliza kutazama episode 10, nikaenda kusoma tena Gemini, nikauliza maswali mengi nikapata majibu, nilivyo serious kama vile kuna pesa inaingiza, so far nime enjoy sana Silo..!