Series (Special thread)

Same, napenda muv zenye uhalisia, matumizi ya tech, akili nyingi, simulizi inayovutia zaidi. Horror SIJAWAHI kabisa kuzikubali.
kuna vitu vingi unatazama unagundua humu duniani kuna watu wana akili mingi mno..!πŸ™ŒπŸΎ
 
kuna vitu vingi unatazama unagundua humu duniani kuna watu wana akili mingi mno..!πŸ™ŒπŸΎ
Ha ha ha sana saana mkuu. Ni kweli kuna drama zipo ila walau kuna kitu kinakuja akilini unakiona hiki walau kina uhalisia na kinakupa kitu kichwani au kukupa maarifa mapya kujua dunia inaenda wapi.

Mimi movies kama 24, FAUDA, TEHRAN, PRISON BREAK, MONEY HEIST, HOMELAND nk zimenifanya nijue dunia inaelekea wapi na kujua kuna watu wana uthubutu wa hali ya juu sana na hakuna kitu mwanadamu akaamua na akashindwa.
 
😁😁
Vincenzo Jr ndiyo huwa anataka kushuhudia huo muujiza wa Neagley..! Mimi kwa hapo siungi mkono pia, ila hao wadada warembo warembo anaowasaidia, wakikubaliana asiwaache..!
 
Ni fresh mno leo ni Happy birthday yangu 😎
Happiest Birthday Vinnie,
Mungu akakuongezee miaka mingi yenye baraka tele humu duniani, uendelee kuwepo sana tafadhali, tunafurahia uwepo wako hasa kwenye hii thread, tunakupenda mwaya..!😍😍
 
hawa watu wapo dunia ya mbele mno kwa teknolojia kiukweli..! wacha tuendelee kupenda vitu vyao, vya kwetu tukipenda hata ubwabwa maharage inatosha sana..!πŸ™ŒπŸΎ
Mimi huwa najisemea kila siku nikiangalia Muv kuwa mchina asije tu kuingia soko la muv, ATATUHARIBIA. Mzungu anaandaa Movie kwa miaka au mwaka na akitoa kitu ametoa kweli.
 
Happiest Birthday Vinnie,
Mungu akakuongezee miaka mingi yenye baraka tele humu duniani, uendelee kuwepo sana tafadhali, tunafurahia uwepo wako hasa kwenye hii thread, tunakupenda mwaya..!😍😍
Asante rafiki yanguuuu😍😍😍🫑🫑😎😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…