Uzi kuwa active inategemea pia na movies zinatoka kwa interval gani? Kama hazitoki maana yake uzi utadorola. Watu tutakuwa busy na series kimya kimya bila kelele.Nimekukumbuka mi pia Carleen, nimekumbuka zamani uzi ulikuwa upo active sana kina Vincenzo Jr Mr Q Dr. Mariposa Angel Nylon Depal Seran Those were the days
Nimekumiss pia Nibless kishungi basi😝Nipo sema mambo mengi dah!
Na mie nakumisi mno yaani
Kwa upande wangu baridi inaishia sasa, hivyo hata unaweza kuanza kukaa kuangalia TV..Nimekukumbuka mi pia Carleen, nimekumbuka zamani uzi ulikuwa upo active sana kina Vincenzo Jr Mr Q Dr. Mariposa Angel Nylon Depal Seran Those were the days
Wacha ifike Aug 27 tuje na kelele za Beauty in BlackUzi kuwa active inategemea pia na movies zinatoka kwa interval gani? Kama hazitoki maana yake uzi utadorola. Watu tutakuwa busy na series kimya kimya bila kelele.
nashukuru zamu hii hajaniangusha, angemuacha yule mrembo bila kulamba, angenikwaza, yule dada ni mzuri..!Huyu mjomba bhana
Sawa unaweza kua sahihi kwa upande wako ila nimeangalia movies nyingi sana kuliko unavyodhani mkuu tena za nje na Africa hapa hapa kali tu sio bongo movies wala sijui othaman bey, nikikutumia picha ya mzigo nilio nao hapa kwenye external na history na whitelists za accounts zangu za Netflix na Prime Video unaweza shangaa huenda hata nyingine hujawahi kuzi tazama...Wewe angalia bongo movies tu au Waturuki,
Yaani nishindwe kuangalia Game of Thrones kisa kuna wanaume wanakiss au nishindwe kuangalia LIONESS kisa kuna wanawake wanakiss,
Nikwambie tu hiyo sio agenda bali ndio maisha yalivyo, wewe baki na kina Othman Bey
Hivi mnazungumzia muvi yake au series na je imeshatoka? Kama ni series ipo episode ya ngapinashukuru zamu hii hajaniangusha, angemuacha yule mrembo bila kulamba, angenikwaza, yule dada ni mzuri..!
Reacher season 4 tajiri mwenzangu, zimeshatoka episode 3 tayari, kitu ni cha moto balaa..!Hivi mnazungumzia muvi yake au series na je imeshatoka? Kama ni series ipo episode ya ngapi
Vipi hii yenyewe ilikupita au uliifahamu??Yeeeeeeey🥳
Siku zote nimekua nikiomba Coco 2 na Luca 2, i'm happy Coco inakuja ila ndio 2029 kweliiii! haya tuombeane uzima na afya njema,
Sijawafatilia Xmen kitambo sana
Lucky wameongeza episodes au ni zile zile 5 voz nilisitisha kwanza nikisubiri zifike 6 ili nianze ya 4,5, na 6 non stopReacher season 4 tajiri mwenzangu, zimeshatoka episode 3 tayari, kitu ni cha moto balaa..!
Jumlisha Silo, Lionesss bila kusahau Lucky huwa nikikutana na new episode hata usiku wa manane najikuta beki hazikabi walaqhi’..!😁
Zimefika 6Lucky wameongeza episodes au ni zile zile 5 voz nilisitisha kwanza nikisubiri zifike 6 ili nianze ya 4,5, na 6 non stop
Zimeshafika 6 mkuu... Download hapo chini 1080p au 4k u enjoy..Lucky wameongeza episodes au ni zile zile 5 voz nilisitisha kwanza nikisubiri zifike 6 ili nianze ya 4,5, na 6 non stop
Ntangalia nicheki ep ya kwanza niicheki kama ina story nzuri naruka nayoInterview with a Vampire ina story nzuri sana ila main characters ni gays, hawaoneshi wakifanya chochote zaidi ni masimulizi ya maisha, so kama ni homophobic achana nayo,
Mi sijaicheki sina mzuka nayo kabisa na nilivyojua ime canceliwa nikaachana nayoWait, unajua niliangalia Spartacus:House of Ushur ikanishinda nikaishia ep 2, humu nikaona inasifiwa ikabidi niirudie Spartacus baadae nikaianza tena House of Ushur bado sijaipenda ila naangalia tu iishe
Hyo last house niliicheki trailer yake inaonekana ni nzuri ushaicheki dissclosure day nayo ni nzuri na kuna horror moja sijaicheki ila nasikia imeipita Obssesion kwenye rating inaitwa "Teenage Sex and Death at Camp Miasma" Dr. MariposaKwa upande wangu baridi inaishia sasa, hivyo hata unaweza kuanza kukaa kuangalia TV..
Em nikaribishe na movie moja hapo leo jua limewaka..
Kuna movie nimeangalia juzi kati inaitwa The Last house.. ni movie mpya hapo mjini Netflix
ni 5/10 hivi inafaa kwa kubuy time.
Hiyo familia siku 1 tu from no where milango & madirisha vikajifunga, wakatumia jitihada zote vikashindikana kufungua wala kuvunja. Baadae wakacheck na majirani hali ni moja.. wakaanza kuwasiliana kwa kuandikiana kwenye ubao. Maana hata network ilikata… siku zkaenda vyakula vikaanza kuishia 🥹
Baadae wakajua nje kuna hatari/ kuna jitu si jitu, dudu si dudu na lishaua majirani… mwisho wakabuni mbinu ya kulitega…. Wakaja kufanikiw kutoka nje…
Hii najua, nilicheka watu walivyomkataa black panther mpya wakijua anareplace character ya King T'chala, ndio maana nasema hizi post credit scenes kwenye movies za marvel zisidharaulike,Vipi hii yenyewe ilikupita au uliifahamu??
View attachment 3650736
Whaaat wameicancell!??? No wonder ile movie ni trash and low budget plus Ushur hakuwahi kua favourite wa yoyote why wampe a sequel, smh.Ntangalia nicheki ep ya kwanza niicheki kama ina story nzuri naruka nayo
Mi sijaicheki sina mzuka nayo kabisa na nilivyojua ime canceliwa nikaachana nayo
Nazitafuta zote mbili ASAP hata mimi hiyo last house nilicheki trailer, nashukuru Depal kaielezea kiundani ngoja niichekiHyo last house niliicheki trailer yake inaonekana ni nzuri ushaicheki dissclosure day nayo ni nzuri na kuna horror moja sijaicheki ila nasikia imeipita Obssesion kwenye rating inaitwa "Teenage Sex and Death at Camp Miasma" Dr. Mariposa
Yan we kila nikiliona jina lako nakumbuka movie zileee za kina below her mouth..Whaaat wameicancell!??? No wonder ile movie ni trash and low budget plus Ushur hakuwahi kua favourite wa yoyote why wampe a sequel, smh.