Series (Special thread)

Taja hata mshiriki wa hiyo series tucheki google au hiyo series ya nchi gani? au theme yake ni yapi?
Inataka kufanana na Ozark sema hii star wake anaua kimaskhara. Kwa walio icheki watakumbuka inaanza jamaa akiwa anausaga mwili kwenye mashine na vipande vya nyama na damu vinarukia baharini.

Huo mwili ndio wa bosi ambaye anapaswa ku disappear baada ya yeye kumpa kibano mtu waziwazi. Sasa wakati anapelekwa mafichoni akafia ndani ya buti la gari. Na kizaa zaa kikaanzia hapo kwa sababu magenge yalikuwa yanamtafuta ili aidhibishe barua na mikataba mbali mbali ya kibiashara.

Alicho fanya star wa series hiyo ni kukata kidole gumba na akawa anapitisha mikataba kwa kidole hicho ili kuwaficha members wa hayo magenge wasijue kama boss amesha fariki
 
Oya ni Kali sana sema dah! Kwanini usahau Jina basi taja ni ya nchi gani au na Hilo umesahau
 
Nimecheki kwenye google inasema inaitwa The tourist vipi ni sahihi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…