Mafia Democracy
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 237
- 883
Inahusiana na Nini?TED LASSO nzuri sana. Naipa 9/10
Kuna timu ya mpira wa miguu inaajiri kocha kutoka Marekani ambaye hana uzoefu wa mpira wa miguu. So kunakua na drama na comedy nyingi sana. Ipo vizuriInahusiana na Nini?
Sijapenda huwa sipendi movie zinazohusiana na career ya mpira, Basketball, Rugby au mzikiKuna timu ya mpira wa miguu inaajiri kocha kutoka Marekani ambaye hana uzoefu wa mpira wa miguu. So kunakua na drama na comedy nyingi sana. Ipo vizuri
Vipi movie za ndondi kama CreedSijapenda huwa sipendi movie zinazohusiana na career ya mpira, Basketball, Rugby au mziki
Hizo naruka muhimu iwe na story yenye mvutoVipi movie za ndondi kama Creed
NitaitafutaInahusiana na Nini?
Aliye recommend series ya barry abarikiwe sana.
Naomba series nyingine inaoendana na maudhui kama ya barry
Inahusu nin mkuu, nipe hints kidogoAliye recommend series ya barry abarikiwe sana.
Naomba series nyingine inaoendana na maudhui kama ya barry
Hii series ina drama sana. Hata kama hupendi football utai-enjoy tuSijapenda huwa sipendi movie zinazohusiana na career ya mpira, Basketball, Rugby au mziki
Hii series ina drama sana. Hata kama hupendi football utai-enjoy tuSijapenda huwa sipendi movie zinazohusiana na career ya mpira, Basketball, Rugby au mziki
Ina husu veteran wa jeshi aliye penda kuwa muigizaji wa theatre,na visanga alivyopitia ni drama yenye comedy na action za kutosha.Inahusu nin mkuu, nipe hints kidogo
Fargo nmeicheki hadi ya tatu...ziko poa ngoja ni malizie season zilizobaki.Kama bado hujacheki Fargo ruka nayo!
Fargo kwakweli ni bonge la series ina fanana sana na barryKama bado hujacheki Fargo ruka nayo!
Unaweza kuchekiFargo nmeicheki hadi ya tatu...ziko poa ngoja ni malizie season zilizobaki.
Inaitwa Nobody au sio???Unaweza kucheki
1. Your honor ,π₯π₯π₯
2. True detectives
3.beef
4. Big mistakes(ina upinde kwa mbali)
5. Dexter resurrection π₯π₯π₯π₯π₯
6. Dexter new blood
7 defending jacobπ₯π₯π₯
Na nyingine nineisahau kama nilivyo andika hapo juu kuna jamaa anaganya kazi na magenge ya kihalifu sasa inatikea mkuu wa genge moja anamoiga mtu mmoja huku bus ka watoto wa shule linaoita akarekodiwa na video yake kusambaa mitandaoni
Ikalazimika atafute namna atokomee kusiko julikana. Sasa wakati anatorishwa aliwekwa kwenye buti na akafia humo
Jamaa aliye mbeba akawa na heka heka za kuficha mwili huku members wa genge wakitaka kujua bosi wao yuko wapi?
Nobody ni movie happ nazungumzia seriesInaitwa Nobody au sio???