Series (Special thread)

Hivi ni madhara ya kutazama movie nyingi ama ni nini..!? nimekuwa na tabia ya kumalizia conversation za wazungu wa watu nikiwa natazama movie..!๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Nimesikitika zaidi baada ya kutazama the husband na Agent Kim reactivated, najikuta nawasaidia kusema the exact next words, sasa ndiyo mpaka Wakorea jamani..!??๐Ÿ˜’
 
Ka lucky kajanja kajanja sana yani. Kamepita na mikoba ya akina mama kwenye birthday party nikabaki kinywa wazi
Huyo dada ni kitu ingine kabisa! Mimi nimependa kila episode ni ya moto! Alivyochoma ile gari, alivyoiaminisha ile familia na kuishi nayo,alivyoiba gari yao ndio kabisaa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Humu story yake ni simple tuh kuna madogo walienda kwenye water cave kufanya utaliii, wakakutana na shark ๐Ÿฆˆ huko akaanza kuwapelekea moto
 

Attachments

  • HMhj3BJaQAAhMAy.jpg
    316 KB · Views: 9

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ