Series (Special thread)

I will find you, naionea uvivu kila siku kumbe ni nzuri..!?
Ni Kali sana inahusu jamaa anapewa kesi ya kumuua mtoto wake na mazingira yote yanaonesha yeye ndio mhusika, wakati yupo jela anatembelewa na shemeji yake anaambiwa mtoto wake yupo hai so anafanya mipango ya kutoka jela ili atafute ukweli utaomsaidia kujinasua kwenye kesi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…