Series (Special thread)

inahusu nn kjana, maana unavyoisifia?

Hii series ni nzuri kwa watu wanaopenda siasa na figisufigusu....inahusu jamaa flan ambaye ni political genus...aambaye jina lake lilikatwa kama lowasa...not exactly the same....lakin akacheza karata zake vema mpaka akabidhiwa urais wa usa. Haina ngumi ina matumiz ya akili sana...
 
Kwan imefka season 10...! Nakumbuka ni season 9 epsods 12 wakaiita live another day...so hata mie nilitegemea waendelee epsod ya 13....
hiyo ndo iliishia hapo,,,,ile episode 12 pale waliandika 12 hrs later which means 24 hrs ziliisha,,,,may be tusubiri season 10
 
Person of Interest Season 5
Inakuja 03/05/2016
 
Kwanza vipi hawa jamaa wanaocheza 24 (kiefer) au jack bouer n wenzake ndio wamemaliza 24 kwenye hiyo season 10 epsod 13 au vip? isaidieni jamani maana nailove sana.
Kwan imefka season 10...! Nakumbuka ni season 9 epsods 12 wakaiita live another day...so hata mie nilitegemea waendelee epsod ya 13....
24 inarudi kwa staili nyingine... 24 LEGACY! Unfortunately, Jack Bauer hatakuwapo... bila shaka hili ni pigo kubwa kwa mashabiki wa Jack Bauer!!

Binafsi, I don't believe much in Actors/characters but I do believe in creators... especially writers and directors!!! Kwenye movies/series; characters are made from the story to directing! Ndo maana the same Kiefer Sutherland casted as Jack Bauer ambae tunaona bila yeye 24 itakuwa ni nothing lakini ni mara chache sana kukuta watu wanamzungumzia Kiefer Sutherland wa Touch (Martin Bohm); WHY? Ingawaje Jack Bauer na Martin Bohm ni yule yule in real world (Kiefer Sutherland), lakini creators wa Touch walishindwa kumtengeneza GREATER CHARACTER Martin Bohm kama ambavyo waliweza creators wa 24 na Jack Bauer wao. Kuna hawa watu: Evan Katz, Howard Gordon na Manny Coto huwa hawakosei na hao ndio creators wa 24 Legacy. Binafsi, nikishaona kazi husika wamo Evan Katz & Gordon, huwa siulizi main character ni nani!

In short, most if not all 24 Characters hawatarudi. Nafasi ya Jack Bauer itakuwa "replaced" na Bwana Mdogo Corey Hawkins!!!! Kiukweli namuhurumia sana Corey Hawkins ambae ana kibarua kizito cha kuwaridhisha mashabiki wa Jack Bauer! Mbaya zaidi, haya mambo inategemeana na Character alivyokuwa developed! Kuna movie/series zingine Main Character anakuwa ndie leading role... huyu ndie anasukuma stori kwenda mbele kutokana na maamuzi yake! Role ya Jack Bauer ndo ilikuwa hivyo and character yake ilikuwa developed kuwa hivyo lakini watazamaji hatujali... tunaamini ni Jack Bauer ndie alikuwa hivyo! Sasa ikiwa role ya Corey Hawkins haitakuwa characterized kama ile ya Jack Bauer, then sitarajii ikiwa mashabiki wa Bauer watamkubali Corey! Na tayari imeshasemwa character ya Corey itakuwa na utofauti na ile ya Bauer!!!


Hata hivyo, Jack Bauer hatutamkosa moja kwa moja... tumsubirie kwenye political conspiracy thriller "Designated Survivor" ambayo atacheza kama US President na ndie Main Character.

Kwa upande mwingine, ikiwa ushoga wa James Novak (Dan Bucatinsky) ndani ya Scandal ulikuwa unakukera; basi usiyempenda anakuja kwenye 24: Legacy kama Communication Specialist wa CTU!! Itoshe tu kusema kwamba, Bucatinsky si kwamba ni shoga wa kuigiza tu bali ni shoga kweli kweli in a real world married to Don Roos na wana watoto 2... Eliza na Jonah!
 
Hapo mwishoni ushanikata steam tayari. Ukiongeza na kutokuwepo kwa Jacky Beuer ndio kabisaaaa naitia kapuni 24
 
Hapo mwishoni ushanikata steam tayari. Ukiongeza na kutokuwepo kwa Jacky Beuer ndio kabisaaaa naitia kapuni 24
Pole sana Mkuu, I know hizi gay stuff scenes zinavyokukera! Nikimchukua huyo James Novak (Dan Bucatinsky) na Cyrus kwenye Scandal na ule ushoga wao wa uzeeni; walikuwa wananikera si kidogo hususani wanapokuja kwenye masuala ya kupigana lita! Wakinekera sana ninachofanya ni ku-forward tu na maisha yanaendelea... kimsingi, I don't care much!
 

Hii ndio njia wanayoitumia ili sisi ambao tuna msimamo hasi kwa mapenzi ya jinsia moja tuone ni mambo ya kawaida! I can see they've won in some ways... Niliacha kuangalia Empire cos of that na hata hiyo scandal pia same same! Kwa kifupi mimi siwezi kuangalia ushoga nikauzoea, if it means kuachana na series I will!
 
Kwa watumiaji wa android. Install series guide uweze jua lini series flani inatoka

By the way mwenye link ingine ya series kama dl.fardadownload.ir asaidie maana hiyo iko down sasa hv
 
Hapo mwishoni ushanikata steam tayari. Ukiongeza na kutokuwepo kwa Jacky Beuer ndio kabisaaaa naitia kapuni 24
Hahahaaaa! Pole sana, mie kukosekana kwa jack beuer tu baaaasi sina mzuka nayo tena.
 
Issue si kuona ni mambo ya kawaida bali it's none of my business! Mimi hata in real life sina time na maisha ya mtu asiyenihusu na ndio maana hata hapa JF nikiona watu wanatoka mapovu eti oh, fulani malaya... sijui fulani amekondeana.... huwa sina time na stori kama hizo... that's one but second, gay portrayal in Hollywood wala hawatulengi sisi bali wanalengana Wamarekani wenyewe ambao kuna baadhi wanaona gayism ni kawaida tu na wengine wanaona ni serious crime... hawa, ndio wanaowalenga Hollywood!! Sasa unless kama unamaanisha wenye misamamo hasi from America, then I agree with you lakini kama ni wale wa Afrika; come on man; wala hawana time na sisi!! Lakini third, mimi kuna mambo yananikera zaidi kuliko huo ushoga kv yananiathiri moja kwa moja! Dume zima likiamua kutoa makalio shauri yake na ndugu zake ndio anawadhalilisha lakini sio mimi! Kinyume chake, Afrika kuna wezi kwenye kila ofisi ya serikali... wezi hawa wanatufanya tukose maji, umeme, barabara, huduma za afya n.k!! Yaani Waafrika ingekuwa tunachukia ufisadi nusu tu ya vile tunavyochukia ushoga, wallah hili bara lingekuwa mbali sana!!!!

Anyway, in short I don't care...!! Thanks God nadhani hatuna shoga kwenye familia lakini eti niumize kichwa kisa ushoga wa XYZ wa Magomeni au Kinondoni ambao wala hawanihusu.... wala sina huo muda-- na ktk hili kuzitaja series za US ni kuwaonea manake hata huko vijijini watu wanatatuana marinda na wala hizo series hawajawahi kuzikia achilia mbali kuziona!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…