Huyu demu ana muonekano wa tofauti huwa naenjoy sana kumuangalia character yoyote anaweza chezaWenyewe wanasema nzuri
Hapo unavyosema wanaingiza mambo ya kifamiliq una maana gani?Series/movies za mwenzetu nyingi huwa wanaziharibu wanapoingiza masuala ya kifamilia.. ni kweli wana huo utaratibu wa kudekezana lakini muda mwengine ni too much hasa wanapoleta hizo mambo kwenye show ya action/drama iliyochangamka, huwa inakata mood kabisa mwisho unashindwa kuendelea.
IkojeView attachment 3604910
Inasifiwa sana mtandaoni lakini haina maajabu kabisa.
Inaonekana ni thriller na thriller nyingi kama wewe ni mpenzi wa action Yani amshaamsha huwezi kupenda ila Mimi nitaishusha. Napenda thrillers yani inachukuliwa kihisia baadae unakuja kustuka moyo unadunda tuView attachment 3604910
Inasifiwa sana mtandaoni lakini haina maajabu kabisa.
Ina episodes mbili, yaani hakuna maajabu hata kusimulia siweziIkoje
Ningekua sijashusha na imperfect women basi weekend yangu ingekua vibaya sanaInaonekana ni thriller na thriller nyingi kama wewe ni mpenzi wa action Yani amshaamsha huwezi kupenda ila Mimi nitaishusha. Napenda thrillers yani inachukuliwa kihisia baadae unakuja kustuka moyo unadunda tu
Hiyo imperfect women ikojeNingekua sijashusha na imperfect women basi weekend yangu ingekua vibaya sana
Mzee humo kuna drama za hatari na usaliti wa kimapenzi. Ina episodes nane na zote zamotoHiyo imperfect women ikoje
Asante sana nitaiongeza kwenye list yanguMzee humo kuna drama za hatari na usaliti wa kimapenzi. Ina episodes nane na zote zamoto
Hii naishi nayo muda huuSeries: Shooter
Jamaa ambaye ni soldier mwenye utaalamu wa kupiga risasi masafa marefu ( Sniper)aliyeamua kuacha kazi na kujikita na maisha ya kawaida na familia yake.Anaombwa kutoa msaada kutokana na uzoefu alionao wa kusaidia kuzuia msafara wa Raisi asiuliwe na bahati mbaya Raisi anauliwa na kesi anapewa yeye ndio ameua Raisi ungekuwa wewe ungefanyaje? Na bahati mbaya zaidi mazingira yote yanaonesha yeye ndio kaua Je anajitoaje kwenye hiyo kesi? Yaani kitaaluma mtoa msaada kawa msaada wa muhuaji halisia
Mafia Democracy Mr Q
Ni Kali mno inamatumizi ya akili, usnitch na ina amsha amsha kila episode hakuna kupoaHii naishi nayo muda huu
Hii nitaichanganya na Criminal record. Episode moja huku episode nyingine kuleNi Kali mno inamatumizi ya akili, usnitch na ina amsha amsha kila episode hakuna kupoa
Najua hutaki za kuumiza akili basi itafute inaitwa The town ya waturuki story yake ipo direct washikaji wanne wamekutana na gari lina watu wawili na wote wamekufa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police wakazichukua zile issue kumbuka hawajui zile hela za nani? Na kwanini wale watu walikuwa wamekufa sababu za kufa ni Nini? Wakakubaliana iwe Siri yao shida iliyobakia ni kwamba kwenye mji wao purchase power ni ndogo wafanyaje zile hela zisigundulike maana wote wanaishi maisha ya chini na hela walizochukua ni za kigeniHii nitaichanganya na Criminal record. Episode moja huku episode nyingine kule
Mbona kama imeanza kuniboa hata kabla sijaidownlowdMzee humo kuna drama za hatari na usaliti wa kimapenzi. Ina episodes nane na zote zamoto
Ni Ile ya Jason Bourne aliye igiza bourne identity au ni Ile ya yule mwamba wa lone survivor?Series: Shooter
Jamaa ambaye ni soldier mwenye utaalamu wa kupiga risasi masafa marefu (Sniper)aliyeamua kuacha kazi na kujikita na maisha ya kawaida na familia yake.Anaombwa kutoa msaada kutokana na uzoefu alionao wa kusaidia kuzuia msafara wa Raisi asiuliwe na bahati mbaya Raisi anauliwa na kesi anapewa yeye ndio ameua Raisi ungekuwa wewe ungefanyaje? Na bahati mbaya zaidi mazingira yote yanaonesha yeye ndio kaua Je anajitoaje kwenye hiyo kesi? Yaani kitaaluma mtoa msaada kawa msaada wa muhuaji halisia
Mafia Democracy Mr Q