Series (Special thread)

Simulia kidg wengine bado hatujamaliza prisoner
Nemesis ni unyama… kuna huyo askari anapambana kumtia hatiani jambazi, purukushani kibao hapo kati.. ila dk za jionii penye nafasi ambapo anaweza kumkamata anafeli kufanya hivyo sbb mtoto.

Wengi tulitamani amkamate/ au hata amuue kabisa, ila sasa haikuwa hivyo
 
Shukrani mkuu
Ila kwann ungependa jamaa afe sometimes jambazi kwenye movie ndo star mwenyewe ujue!?
 
Kwa hiyo kesho siku inaishaje?? Nipe kitu kilichonyooka basi
 
HOUSE OF USHER wameshaicancel huko , sababu kubwa ni ajenda za kike zilizoingiwa humo (gradiator kuwa wakike)
Yah hata mimi nilipiga kura kwenye house of ashur poll kwamba series imekosa uhalisia Na series inatakiwa kuwa cancelled...
Nilipomuona "achillia" kwa mara ya kwanza nikajua atabakwa sana kwenye ludus za gladiator...

More than that spartacus ni hadithi ya kweli na script inatoka kwenye kitabu ila sijawahi kusoma kitabu cha HOUSE OF ASHUR..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…