Kwani Mkuu, Telegram inapiga kazi???maana mm mwez wa 6 huu imestack tuWanaulizia Jinsi telegram inavyofanya kazi, kuna channel hii. TV Series Updates Kuna kila series unayoijua wewe humo!
Ukishajoin inajieleza kila kitu jinsi ya kuitumia!
Asian Dramas ziko hapa Asian Dramas — [T4TSA.cc]
Kwani Mkuu, Telegram inapiga kazi???maana mm mwez wa 6 huu imestack tu
Mkuu, naomba link ya ku download hii Venganza
Hii imetoka au ni Ile iliyokuwepo? Zinanichanganya
Berlin season 1 iliyotoka tarehe 29 mwaka 2023 uliicheki?Hii imetoka au ni Ile iliyokuwepo? Zinanichanganya
Niliona sasa inanichanganya na nyingine prof hayumo ila ni heist na yenyewe Kuna Dem yeye alizimika na jasho la msela kwenye harakati za kuchimba tunnel au ndio hiyo hiyo money heist?Berlin season 1 iliyotoka tarehe 29 mwaka 2023 uliicheki?
Sasa season 2 yake inaachiwa kesho
Na taarifa ni kwamba Professor naye atakuwepo.
Kesho ikiachiwa tu naanza nayo.
Season 1 kuna character mmoja tu ambaye alicheza kwenye Money Heist ambaye ni Berlin tu.Niliona sasa inanichanganya na nyingine prof hayumo ila ni heist na yenyewe Kuna Dem yeye alizimika na jasho la msela kwenye harakati za kuchimba tunnel au ndio hiyo hiyo money heist?
Nmekumbuka asee so Leo wanamwaga episodes?Season 1 kuna character mmoja tu ambaye alicheza kwenye Money Heist ambaye ni Berlin tu.
Characters wengine wote ni wapya.
Umeisahau kabisa hii series tuliiweka mjadala sana hapa jamvini mwaka juzi?
Kunbuka basi hata ile scene ya Berlin na crew yake walipanga hoteli ambayo ipo mkabala na ghorofa ambalo kulikuwa na mtu ambaye ni kama mtunza hazina wa benki waliyekuwa wamemuweka kwenye target za kufanikisha jambo lao la wizi.
Then Berlin katika harakati za kumchunguza huyo jamaa akajikuta ameingia kwenye mahusiano na mke wa huyo target.
Mwisho demu alikuja kuingia kwenye hoteli ya jamaa bila kutoa taarifa then alipofika ndani akakuta ma scope yameelekwezwa kwenye apartment aliyokuwa akiishi.
Hapo ndip akaja kugundua kuwa haikuwa ni upendo ila alitumiwa kama njia ya kufanikisha lengo la wizi.
Mpaka hapo hujakumbuka tu?
Money heist na Berlin wana story nzuri Ila wapunguze kuchekacheka kwenye series zao. Pia kuna mapenzi yakitoto sana kama Bongo movie🤣Berlin season 1 iliyotoka tarehe 29 mwaka 2023 uliicheki?
Sasa season 2 yake inaachiwa kesho
Na taarifa ni kwamba Professor naye atakuwepo.
Kesho ikiachiwa tu naanza nayo.
Wale wanaopenda series za msako wa police na magangster wa madawa ya kulevya mzee huu hapa mpya kabisa