Series (Special thread)

Ewaaaaa. Jamaaa alikua anachekesha sana. Hasa pale waende kwa wale witches waliomchukua demu wake.
Yaani alikuwa anachekesha, muoga ila wenzie wakifanya jambo yeye ndio anataka achukue credit.
 
Anayefahamu series yoyote inayohusu maisha halisi ya millitary.
Kuna series moja inahusu vita ya Vietnam na marekani,ni kali ila nimesahau jina
 
Utaenjoy sana,huwezi kuchoka kuangalia ukishaanza,kila episode imetulia
naishusha now kumbe ni ya zamani tangu 1987 zipo Season 3 nashusha zote gb 19 nimeicheck juu kwa juu You tube Pilot imenivutia sana nadhani itakuwa poa sana coz napenda sana movie za kivita za kizamani itanisogeza sogeza wakati naisubiria MY FAVOURITE SERIES game of throne na mzee wa msingi maneno kifupi nyundo TYRION LANNISTER
 
Ni torent gani naweza kudownload movies maana utorent na Vuze kama zimeblokiwa huwezi kudownload!Msaada.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…