Series (Special thread)

Kumbe nisiicheki na nshaipakua dah!
 
Kama ulipitwa na hii muvi basi itafute haraka sana ni chuma kwelikweli. TikTok Kuna jamaa ame recommend NAMI nimepita nayo na nimekubaliana kwamba ni muvi tamu.

Huyu baunsa kajitahidi sana humu.

Kuna jamaa anaitwa Feisal humu kanifurahisha sana 😁😁

Pia Russians wa humu hawacheki na yeyote wapo serious na kazi yao sema ndo hivyo wamekutana na mkonono wa chuma Bautista


 
Halafu hizi rates sijui wanazingatia Nini.

Hiyo final score Ina 5.8 huko IMBD
Agent 45 Ina 5.7
Salt Ina 6.5
Na zote ni Kali.

Utakuta muvi imekaa kishoga na UJINGA UJINGA mwingi inapewa 7.8
 
Mzigo huu hapa naudaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…