Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
Yupo
Na nilimfikishia screenshot akasema anakuja..
Yupo
Una utani eehBeauty in Black S2 ikitoka mnishtue 😋💯
Yeah, Part 2 🤔😂Una utani eeh
Naona wananchi wanaiongelea sana kwamba inaliza..Bwahahaa sijaiona mwee wacha niitafute nijilize zangu, sijalia siku nyingi😂
Basi tuendelee kusubiri, kwanza ulifichwa wapi?😃Yeah, Part 2 🤔😂
Basi kesho nikishalia takwambia😅Naona wananchi wanaiongelea sana kwamba inaliza..
Netflix naona tu S1… S2 march 19 sjuiBasi tuendelee kusubiri, kwanza ulifichwa wapi?😃
Nachoka kuwasha VPNBasi tuendelee kusubiri, kwanza ulifichwa wapi?😃
Naona hii maybe kweliNetflix naona tu S1… S2 march 19 sjui
Movie box naona S2 ina Ep chache
Which is which..
Maybe badili vpn au tumia appNachoka kuwasha VPN
Safari inanigomea kabisa kufungua jf bila VPN
Safi sana huu ndio utu 😁😁Yupo
Na nilimfikishia screenshot akasema anakuja..
Nibadilishe aje VPN? Namaanisha me jf haifunguki mpaka niwashe VPN, app siwez😂Maybe badili vpn au tumia app
Yooh! Wacha streamers tusubiriNaona hii maybe kweli
View attachment 3557948
Huwezije😆 vpn ndio uwe unawasha mara moja moja sio mbaya dadaNibadilishe aje VPN? Namaanisha me jf haifunguki mpaka niwashe VPN, app siwez😂
Mvua inapiga watu tunaamka saa 6🤣Kudadadeki, mvua ya juzi na leo morning ni kisanga 😁
Oya hii ya mchana sio poa, nime jigubika kwenye ma blanketMvua inapiga watu tunaamka saa 6🤣
Naona nilipo imeanza inaweza kwenda hadi kesho asubuhi hii😂🙌 , na umeme umekataOya hii ya mchana sio poa, nime jigubika kwenye ma blanket
Huku pia, umeme upo lakiniNaona nilipo imeanza inaweza kwenda hadi kesho asubuhi hii😂🙌 , na umeme umekata